Recent content by fenebig

  1. F

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Kwanini Padri Luther aliondoa baadhi ya vitabu kwenye Biblia, na kwanini alijiondoa kanisa Katoliki?

    Hawa jamaa wanatua huruma kweli yaani historia anasema ndo theology. Ukibishana na mtu kama huyu waweza kuwa kichaa!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Kwa hiyo papa akiwa na Obama mnaharisha na makamasi yanawatoka? Kaka huo ni woga tena woga wa kipumbavu. Papa ni binadamu, anaomba kwa Mungu kama wengine, anasali tofauti ana menage kanisa katoliki! Kanisa katoliki linamafundisho yake kama huyaamini nashauri sepa! Kusamehe dhambi kunawapa shida...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Hahahahaaa hiyo siri umeijuaje kama si ndo ujuha? Hahahaha dah! Kweli mnatia huruma!
  4. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Yani kaka hadi unatia huruma! Viongozi wa dunia wakienda vatican wanaenda kumwinamia papa? Pole sana. Ni ukweli usiopingika papa ni mtu kupata wageni wa heshima kwa mtu kama yeye ni kitu cha kawaida. Sasa wewe unataka iweje? Labda tuanzie hapo mkuu. Make papa hata akinyenyua mguu mnatetemeka...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Mi niambie wapi cheo cha Mungu ni holly father! Reference za kumtukuza Mungu ni nyingi sana sasa ninukulie wapi hiyo reference inamaanisha cheo cha Mungu!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Usivyojua uongo una nukuu great controversy halafu anabwabwaja kuwa we siyo msabato! Hahahahaa! Halafu bado mnatuletea ya karne ya 16 wakati hiyo imebaki kwenye makabrasha ya historia! Hahahahaaaa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Baba wa milele, Mungu mwenye nguvu, mfalme wa amani. Hivyo vyaweza kuwa vyeo vya Mungu lakini si baba mtakatifu. Utakatifu ni refence ya ecclesia anayoiongoza wala si yeye kama yeye. Halafu acha kushusha hadhi ya Mungu wetu! Mungu aporwe cheo!!!!!! Hahahahahaaaa basi huyo si Mungu mwenye nguvu...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Hawa ndo wale wanaodandia gari bila kujua welekeo. Nimemshangaa sana.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Hahahahaaa! Dah! Kweli!
  10. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

  11. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Mbona povu jingi? Kwa taarifa yako kwa msabato hata wewe umepotea kwa kusali jumapili ambayo wanasema ndo mamlaka ya papa! Kwa hiyo unakunywa mvinyo wa ghadhabu ya Mungu. Kama hujui kinachoendelea kaa kimya. Unatuambia umeokoka ili tufanyeje? Mediocrity!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Kwani wewe unapigania nini? Watu bhana! Nani kapotea? Ukristo kweli umekua bangi!
  13. F

    JamiiForums Tanzania Je Papa anakufuru?

    Hicho cheo kapewa na nani?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ziwa Nyasa ni milki halali ya Malawi

    Halafu ziwa likikauka tunachukua ardhi! Bahati mbaya pombe hajui international pilitics wal diplomacy. Tutapiga tu!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

    Kaka ni shida!
Back
Top Bottom