Recent content by Femsor The Activist

  1. Femsor The Activist

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    [emoji111] [emoji111] tupo pamoja mamaa, wacha tusubirii
  2. Femsor The Activist

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] inategemea na ubora wenyewe kwenye nini mamaa, lakini nimeona mchangiaji mmoja wa mada kasema wanakuwaga wavivu+kutokubebeka kirahisi hapo ntashawishika kuja upande wako mamaa. Na zile mada zako zile za namna ya kucare hakika ndo unanimaliza kabisaa una...
  3. Femsor The Activist

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    [emoji2] [emoji2] bila shaka mamaa nawe pia usisite kunitag ukiwa wa kwanza kuona post. Lakini kama nishaanza kuona upande wangu baada ya kuona upo upande huo, ngoja niweke subira tupate mchambuzi kwanza. Good Morning Madame Arabian queen
  4. Femsor The Activist

    Sifa za wanawake/wadada wanene

    Ohoòoo! Mie nimekaa kimyaaa nasubiri ije ya vimbau mbau ili nilinganishe then nifanye maamuzi. Kumbe upo kundi la pili, hamu imeongezeka Arabian queen.
  5. Femsor The Activist

    Ndomana hatuendelei, kumbe sababu ni hii

    Hahaha Mkuu STUNTER, Nadhani wanawake wangekuwa na utajiri wa kutisha maana wanaume 50 hivi wanamuhudumia mwanamke mmoja.
  6. Femsor The Activist

    Ndomana hatuendelei, kumbe sababu ni hii

    Afadhali Mpendwa Joanah umeona hilo.
  7. Femsor The Activist

    Kumpagawisha mwanaume

    Hakika huyu si mtu mzuri, labda lengo lake ammalize kabisaaa
  8. Femsor The Activist

    Kumpagawisha mwanaume

    Hahahaha usimfanyie hivyo Mkuu espy.
  9. Femsor The Activist

    Kumpagawisha mwanaume

    Majibu murua kabisaa, nakuelewa sana Arabian queen
  10. Femsor The Activist

    Kumpagawisha mwanaume

    Hahahha Mkuu, yaani anataka awe Ndondocha , sijui anamtakia nini jamaa ?
  11. Femsor The Activist

    Wake zetu toeni woga tukiangalia ''zigo'' tumeumbwa kuangalia

    Hahahaha Daby naona umenizidi viwango Mkuu. Mpaka uwekewe mazingira [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
  12. Femsor The Activist

    Maujanja ya kumkalisha mwanamme wako nyumbani weekend haya hapa

    Safiii! Nipo standby kuchangia na kuhudhuria Mkuu.
Back
Top Bottom