Recent content by Feliciansanyenge

  1. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota Isis Vs Wish 1800 CC

    kwann unasema wish? Vigezo?
  2. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota Isis Vs Wish 1800 CC

    Nimejichangachanga nataka moja kati ya hizo, kwa anayezifahamu, ni ipi nzuri kuanzia muonekano, uimara mpaka perfomance.
  3. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota Isis/Wish/Caldina 1800cc

    Nahitaji gari moja kati ya hizo , iwe imesajiliwa hivi karibuni ofa yangu ni m9 Nicheki watsapp 0767525764
  4. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Caldina/fielder/Wish1800cc needed

    Inahitajika moja kati ya hizo, iwe imetumika muda mchache, Budget 9m nicheki kwa watsapp 0767525764
  5. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota Caldina or Fielder inahitajika

    Toyota Caldina au Fielder 1800 cc imetumika nchini muda mchache inahitajika. Budget mil 9! Ni contact via Whatsapp 0767525764
  6. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Hahaha alikimbia umande eee
  7. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Wadau kila mara napitia page ya enhance auto,,Kwakua nazipenda crown, najaribu kuangalia ulaji wake wa mafuta naona wameendika 12km/l,,Pamoja na web page zingine,, Je ni kweli kwetu hapa tanzania ni hivyo? Na kama ni hivyo mbona naona crown nyingi sana zinauzwa bado ili hali zimeingizwa nchini...
  8. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tafadhali kwa kampuni ya kuuza magari ya tradecarview ya Japani

    CIF ( Cost , Inspection not insurrance, Freight)
  9. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota fielder 1.5cc na 1.8cc Which is best?

    As Asanteni sana kwa maoni yenu
  10. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota fielder 1.5cc na 1.8cc Which is best?

    Nafikiria ushuru wa fielder 2010 ni mjubwa sana, naweza kulipia wa 2008
  11. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Toyota fielder 1.5cc na 1.8cc Which is best?

    Nimeipenda hii gari, nipo njia panda kati ya cc 1.5 na 1.8! kwa mwenye uzoefu ni ipi ambayo nitakua comfortable kwa safari ndefu, wakati huohuo nitatumia mafuta kidogo, na itakua funny to drive! Maana tatizo langu kubwa nimeshaathirika kusaikolojia kidogo yaani naogoa gari nikisikia inakula sana...
  12. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Tunaotumia Subaru Legacy B4 tukutane hapa

    Hakuna group la watsaap? by the way kuna mtu anafahamu napoweza kupata engine ya legacy twin turbo?
  13. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Msaada plz hivi mtu akinunua gari kutoka kenya au uganda analipaje kodi

    Ndugu yetu kauliza swali la msingi sana, kwakweli bandarini kuna gharama nyingi ikiwemo gharama zenyewe za kutumia bandari, clearing agent nk, mdai anataka kujua ni gharama zipi atatakiwa kuzilipia na zingine ambazo ataziokoa kwa kununua gari uganda, tumsaidie jamani
  14. Feliciansanyenge

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Asante sana kwa mchango wenu umenipa darasa tosha sasa on my way to bring my honda
Back
Top Bottom