Recent content by Felice6

  1. Felice6

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni mnisaidie kumwelewa huyu ndugu yangu, Kila nikiongea naye lazima aniulize kuhusu kazi na biashara zangu

    Usiwaze vibaya. Anakupenda kwa kuwa umekua kwake. Akuulize nani?
  2. Felice6

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kubadilisha tahasusi (Combination)

    Asante, hiyo shule haina hiyo kombi
  3. Felice6

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kubadilisha tahasusi (Combination)

    Habari za muda huu wakuu Mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana ambapo ndiyo wamepangwa kidato cha tano. Amepangiwa Combination ya HKL badala ya CBG aliyoitaka na shule alipangiwa zipo combi za sanaa tu, HKL, HGL na HGE. Je, mchakato wa kuhamia shule yenye combine hiyo ukoje? Msaada
  4. Felice6

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Pinda yupo hai mbona
Back
Top Bottom