Recent content by Feisal Juma

  1. Feisal Juma

    Ya Moto band ipigwe marufuku, Sasa imevuka mipaka kukiuka maadili

    Na Nukuu "#Wazee wetu walikuwa na #Uandishi kama huu ☝☝☝☝ wa #Mashairi (Pengine sio la zamani ila ni #mfano) utumiaji wa #Tafsida kitu ambacho vijana wengi wa sasa #TUMEKIPOTEZA Haina maana kuwa muziki wa sasa ni wa kihuni tofauti na zamani!!! #Big_No hata zamani...
  2. Feisal Juma

    Msanii "najo mkali" akanusha kuharibu show ya Diamond Iringa

    Kuna habari zilizokuwa zikienezwa kwenye mitandao kuhusu Diamond Platnumz na show yake ya Iringa, habari zenye lengo la Kuharibu show hio na pia kumtengenezea chuki Heat Maker wa Mdogo mdogo (Diamond Platnumz), Kichwa cha habari kikiwa "Wasanii Iringa watengeneza kamati ya kualibu show ya...
  3. Feisal Juma

    Blogger in tanzania

    sorry thats what i forget ila sio kesi Link io hapo blog ya vijana
  4. Feisal Juma

    Kikosi cha taifa stars kilichotajwa leo 25/2/2014

    Kikosi kamili cha Stars kilichotajwa leo ni makipa Deogratius Munishi (Yanga), Ivo Mapunda (Simba) na Mwadini Ally (Azam). Mabeki wa pembeni ni Edward Charles (JKT Ruvu), Erasto Nyoni (Azam), Hassan Mwasapili (Mbeya City) na Michael Aidan (Ruvu Shooting). Mabeki wa kati ni Aggrey Morris...
  5. Feisal Juma

    Blogger in tanzania

    Jamani mie ni Blogger mwenye umri mdogo tu niko chuo kwa sasa nina miaka 19 na blog yangu inaitwa BLOG YA VIJANA kwa sasa ninaendelea vizuri japo sio sana...nashkurur kwa hilo na nimeandika hili kuwajuza tu wale wengine wasiojua kuhusu BLOG YA VIJANA basi wanaweza kuijua sasa......napnda...
Back
Top Bottom