kama ni kweli alitoa maneno hayo ya dharau basi alistahili. zama za kudharauliana kwasababu yoyote ile zimepita. ukiwa kiongozi unahitaji uvumilivu na busara iliyopita kiaasi. kwani angezungumza bila kipaza sauti wasingesikia? unataka niamini kuwa kuwa AIA kuna wanafunzi wengi kiasi hicho! pia...
Ndugu yangu kiwiya dodoma haina wananchi. Kumbuka dodoma si nchi ni mkoa katika nchi ya tanzania. Ungesema wakaazi wa dodoma.......... Ingawaje hata unachokisema hakina mashiko kimejaa ushabiki na si uchambuzi wa umakini nafikiri tatizo laweza kuwa elimu yako. Pole sana.
Kukataa kusikiliza jambo si umakini. Umakini wa mtu unapimwa kwa kusikiliza mengi na kuweza kuchambua lililo bora. Halafu kumbuka dodoma haina wanachi, kwani dodoma si nchi ndugu yangu ni mkoa. Wewe wa wapi!?
SIDHANI KAMA UNAUHAKIKA NA UNALOLIANDIKA AU NI UTASHI WA KISHABIKI UNAO KUSUKUMA KUANDIKA HAYA. HAINGII AKILINI KWA MTU ANAYEFUATILIA SIASA ZA NCHI HII KUAMINI KUWA CHADEMA (chama makini) HAKITOI USHAURI WOWOTE KWA SERIKALI! ITENDEE HAKI NAFSI YAKO, HUJAWAHI KUSIKIA USHAURI WA HIKI CHAMA KWA...
DuH! double standards, social/political exclusion and so on ndani ya bunge. Mbona Ndugai alianza vizuri. Chemba kachafua hali ya hewa, uvumilivu umemshinda naibu, TiBiSii hawako fair kwenye kupasha habari.
Duuh! ni aibu iliyoje kwa mbunge, sitaki kutumia neno Mheshimiwa na nimekua nikikataa miaka yote. Angalia sasa unamwitaje mtu mhashimiwa mwenye mdomo unao toka maneno machafu kuliko hata ya mtu aliyechanganyikiwa. Tusi la waziwazi halivumiliki, bora hata lingekua na chenga au angetumia lugha ya...
Tusisahau kuwa ni mtu wa watu. Huwatembelea wagonjwa hospitalini, huudhuria misiba, huwakumbuka yatima,wajane na wazee hasa katika sikukuu za dini. Pia ameruhusu uhuru mkubwa wa habari mpaka wanamtukana! MAPUNGUFU KWA MWANADAMU NI LAZIMA LAKINI KUNA MENGI MAZURI KAFANYA NA ANASIFA ZAKE NYINGI TU...
Kuwaambia wanachi heti ni posho ya 200,000 inayotaka kuwatoa macho ni tusi, tusi kubwa kama lile la Basil Mramba kwamba "... hata ikibidi watu watakula majani lakini ndege ya rais lazima inunuliwe". Viongozi wetu wamelewa madaraka. Siamini Mama Makinda anaweza kuzungumza utumbo nliousikia East...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.