Kukatika Umeme kanda ya Kaskazini Na Mkutano wa Jangwani CDM

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Brethren

Taarifa nilizonazo ni kwamba umeme umekatwa kanda ya kaskazini yote yaani eneo kubwa sana hakuna umeme, na haya yanatokana na mkutano wa CDM kuwa ungerushwa na ITV hivyo kwa njia hii wana-kaskazini wengi kukosa taarifa sahihi za kile kitakachojiri muda mfupi ujao pale jangwani, mpango huu ni wa kishetani kabisa
 
waweke majenereta, chadema ni chama cha kitaifa, hakiwezi kushindwa kuweka jenereta, halafu clouds wakaweza
 
Brethren Taarifa nilizonazo ni kwamba umeme umekatwa kanda ya kaskazini yote yaani eneo kubwa sana hakuna umeme, na haya yanatokana na mkutano wa CDM kuwa ungerushwa na ITV hivyo kwa njia hii wana-kaskazini wengi kukosa taarifa sahihi za kile kitakachojiri muda mfupi ujao pale jangwani, mpango huu ni wa kishetani kabisa
Sidhani kama itasaidia sana. watatumia majenereta na sisi wenye mtandao tuwe tunawapa tarifa ya kinachoendelea.
 
mikoa ya magharibi yaani tabora- igunga wamekata umeme saa 10 na dakika mbili na kurudisha saa moja jioni,hivyo hatujaona m4c live
 
Hapa Sikonge waliukata asubuhi ukarudishwa saa kumi kamili jioni,la maana hapa ni kuomba CDM ilipie marudio ya kitu hii ama ITV ama *tv ili wananchi waone kilichojiri Chadema Square.
 
Back
Top Bottom