Recent content by fedson

  1. F

    JamiiForums Tanzania Tanesco makete inatunyanyasa wenye mashine

    Tunamwomba meneja TANESCO mkoa kuliangalia hili kwa jicho la undani zaidi, kwani wamiliki wa mashine za kukoboa na kusaga nafaka Makete tunanyanyaswa na uongozi wa TANESCO wilaya. bili tunapewa jioni na inapofika asubuhi tunakatiwa umeme na kupigwa faini wakati bili inaonesha muda wa kulipa...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi CCM Itakavyomtumia Zitto Kushinda Urais 2015

    ZZK kuwa na macho ya rohoni. kuwa makini sana na mipango ya chama tawala.kupanga nia kuchagua na kuchagua ni kupanga pia. tafadhalini sana pangeni mambo sawa.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Kawambwa Amechakachua matokeo ya Darasa la 7 2012

    kawambwa mwogope mungu wako. taifa unalipeleka wapi hili? kwanini usikubali matokeo na kukiri mapungufu? wapeni walimu stahiki zao taifa linakufa
Back
Top Bottom