Wasanii na wanamichezo Mara nyingi wanafahamika zaidi kuliko hata wanasiasa mtu anamjua Mess,Ronaldo,Diamond au Alikiba lakini mtu huyo huyo ukimuulza Waziri wa michezo ni Nan hajui,hii inatokana na watu wengi kupenda mziki na michezo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.