Azam Media upande wa Habari wanajitahidi sana, aliyewapa ITV Usuper Brand achunguzwe

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,133
11,126
Miaka mitatu sasa ITV wanajiita Sueper brand East Africa lakini sijui huo usuper wao umepimwa vipi, ukiangalia muonekano wa picha zao ni mbovu yani hawana HD kabisa, Taarifa yao ya habari inazidiwa viwango na Azam

Azam upande wa habari wapo vizuri sana, wanachambua mambo vizuri japo uhuru sio mkubwa lakini wanajitahidi na muonekano wao ni Hd, taarifa yao ya habari inavutia kuangalia na wana wachambuzi wazuri

Aliyeipa ITV usuper Brand achunguzwe...
 
Sasa azam inapatikana kwenye visimbuzi vyake tu jee uwanda mdogo huo atashindanaje na ITV iko kwenye satellite kokote unaipata?
 
Miaka mitatu sasa ITV wanajiita Sueper brand East Africa lakini sijui huo usuper wao umepimwa vipi, ukiangalia muonekano wa picha zao ni mbovu yani hawana HD kabisa, Taarifa yao ya habari inazidiwa viwango na Azam

Azam upande wa habari wapo vizuri sana, wanachambua mambo vizuri japo uhuru sio mkubwa lakini wanajitahidi na muonekano wao ni Hd, taarifa yao ya habari inavutia kuangalia na wana wachambuzi wazuri

Aliyeipa ITV usuper Brand achunguzwe...
Ni wazuri sana ila siku hizi masuala ya habari za ndani hawaweki mchambuzi wakufafanua zaidi., wamekua waoga sana sijui kwanini
 
Mkuu Lichadi umelenga mule mule 😂😂 na wanaoipigia promo zaidi ni kile chama flani.

Binafsi ITV hawajafikia hata nusu ya ubora wa Azam. Movie zao zinafundisha na zinaelimisha, ukija kwenye news wako vizuri kuliko yoyote.
 
ITV kwa Afrika mashariki hawana mpinzani wana maripota East Africa na central Africa wapo active kwenye social media na wana habari nyingi wana vipindi bora kwa lika zote hawana vipindi vingi vya nje ya nchi
 
Miaka mitatu sasa ITV wanajiita Sueper brand East Africa lakini sijui huo usuper wao umepimwa vipi, ukiangalia muonekano wa picha zao ni mbovu yani hawana HD kabisa, Taarifa yao ya habari inazidiwa viwango na Azam

Azam upande wa habari wapo vizuri sana, wanachambua mambo vizuri japo uhuru sio mkubwa lakini wanajitahidi na muonekano wao ni Hd, taarifa yao ya habari inavutia kuangalia na wana wachambuzi wazuri

Aliyeipa ITV usuper Brand achunguzwe...
Citizen tv wako vizuri sana!
 
Back
Top Bottom