Recent content by Fedora

  1. Fedora

    Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    N Asante kwa jibu lako, naenda kununua hivyo vidonge
  2. Fedora

    Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

    Ajira tayari zimetoka, ukikosa kuajiriwa jiajiri mwenyewe ukishindwa nenda kasome diploma ya elimu, kisha unga na degree afu rudi mtaani kusubiri ajira tena.
  3. Fedora

    Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    hahaha, du raia bwana:D:D:D
  4. Fedora

    Nini chanzo cha kutoka vidonda vidogo kwenye ulimu

    Habari, Mara kwa mara nimekuwa nikitokwa na kipele kimoja au viwili kwenye ulimi ambavyo vinadumu kwa siku 3-7 kisha kutoweka vyenyewe, vinanipa maumivu sana kiasi hata cha kusindwa kuongea vizuri au kula Sijawahi kutumia dawa yoyote na hutokea wakati wowote, msaada kwa anayejua tatizo hili.
  5. Fedora

    Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Je driver ya printer ilikubali kuinstall vizuri mpaka nwisho?
  6. Fedora

    Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Sawa nilishamuelewa Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Fedora

    Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Naona watalaam wamepiga kimya, poa ngoja tuendelee kubrainstorm Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Fedora

    Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Ok, sawa. Sasa kwa hii case yangu ambapo 64bit driver ipo solution ni ipi. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Fedora

    Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Weka maelezo hapa jukwaani mzee kwa faida ya wengi kama kweli ni free of charge Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Fedora

    Msaada jinsi ya kuinstall printer ya canon image runner 2520

    Sio kweli mkuu, mimi machine yangu ni canon IR 2204. CD yake imekuja na driver zote 32 bit na 64 bit, mara ya kwanza nili install driver ya 32 bit na window ilikua 32 bit, ikakubali, nikafanyakazi vizuri, baada ya muda window ikawa infected na virus, nikaamua kufanya clean reinstallation ya...
  11. Fedora

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Aisee hiyo style ya kuvimba na kuwasha inanipata sana mara nyingi nikila nyama ya nguruwe au kumywa maziwa ya mgando, nahisi ni aina flani ya allergy, kuna mahali niliambiwa antihistamine cream inaweza kusaidia kwa kipaka maeneo yote yaliyovimba Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Fedora

    Printer za picha (Mini lab)

    Zinauzwa kuanzia laki 3 hadi tatu na nusu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Fedora

    Printer za picha (Mini lab)

    Ni kweli kwa maeneo ya mjini biashara hii imepungua sana hasa kutokana na kupungua kwa street photograph kulikochangiwa na kuja kwa smart phone, lkn kwa maeneo ya vijijini biashara bado ipo, japo ni ya msimu, hasa wakati wa sikukuu na matukio makubwa kama harusi, ubatizo, misiba nk Sent using...
  14. Fedora

    Printer za picha (Mini lab)

    Haya picha iyo apo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom