Recent content by FBS90

  1. FBS90

    Siwezi kufanya Haya kwa sasa

    Subri kidogo
  2. FBS90

    Siwezi kufanya Haya kwa sasa

    Kupiga kura kwa sasa 19&20 Kusimamia uchaguzi wasahau..
  3. FBS90

    Siwezi kufanya Haya kwa sasa

    Hiyo sasa nitafute pm
  4. FBS90

    Siwezi kufanya Haya kwa sasa

    Na hilo pia
  5. FBS90

    Siwezi kufanya Haya kwa sasa

    Mwana jamvi Kuna vitu au mambo ambayo yapo juu ya uwezo wako huwezi kufanya. Kipi hicho mdau funguka... Kwa kweli Mimi kuna mawili ★kubadili dini/ dhehebu ★kufanyiwa tohara(kutairiwa) Hapo never ....... Siweziiiii
  6. FBS90

    Vituko vya madem

    Naogopa rimbwata Maana hakuwa Hata mzuri
  7. FBS90

    Vituko vya madem

    Wanajamvi habarini... Kuna mwaka fulan yalinikuta sitosahau!!! Ilikuwa jioni nitoka kijiji jirani kwa mshikaji wangu. Wakati narudi home mida ya jioni kigizagiza ndo kinaanza, kwa mbali nikaona dem yu pekeake. Nikakaza pedo nimfikie, kweli nikamfikia. Nikazuga kumpita kidogo afu nikamwambia...
  8. FBS90

    Mpenzi wangu hafiki kileleni

    Pole na msongo wa mawazo. Kuna wakati huna budi kuwaza sana wanawake wanatofautiana sana. Kama ulishapitia madem wengi utaona tofauti kwa kila dem. Kuna mambo mengi kumjua mwanamke mmojammoja. Huhitaji kumridhisha kila mwanamke wengine chapa tembea. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. FBS90

    Mke wangu ananinyima haki yangu ya ndoa mwezi wa nne sasa

    Mimi huwa naanza mazoezi mepesi JUMA la tatu tangu kujifungua. Unapiga polepole akiumia unaacha wala hakuna madhara Miezi minne ni upumbavu wako , Ashakuona hamnazo Sent using Jamii Forums mobile app
  10. FBS90

    Nasaka mke mwema

    Sifa zangu Miaka 29 Mwajiriwa na nimejiajiri pia Ni mweupe rangi Mrefu wa kati Nipo kanda ya ziwa Awe na sifa Miaka 20-30 Mwenye kazi au asiwe na kazi Sawa Kimo chochote Rangi yoyote Awe mwelewa na Asiwe wa kisasa zaidi. KARIBUNI SANA PM WENYE UHITAJI. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. FBS90

    Uliachanaje na dem/bwana wako?

    Kuna ubomoaji nzuri. Itakusaidia baadae ukiamua kurudi, unajichapia bila shida. Kumbuka ni wale ambao huna malengo nao. Unadum na dem Hata kwa miaka 20+ Sent using Jamii Forums mobile app
  12. FBS90

    Uliachanaje na dem/bwana wako?

    Kuna kuachana kwa faida na kuachana kwa hasara. Hujui hilo? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. FBS90

    Uliachanaje na dem/bwana wako?

    Siku ukihitaji ni kukumbusha tu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. FBS90

    Uliachanaje na dem/bwana wako?

    Kubadilisha ujuzi mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. FBS90

    Uliachanaje na dem/bwana wako?

    Hiyo tu unatema Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom