Recent content by Faza confessor

  1. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi wa Desemba 2018 umekatwa Tshs 30,000/-

    Pole sana ulietoa mada sorry we ni mwalimu wa somo ganii
  2. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpishi wa pilau na maharage, ambae nitamlipa kwa kila pishi

    We jamaa bangi kweli kwa iyo unamadem wengi mpaka umefungua matawi mkoani
  3. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa kutengeneza biogas digester anahitajika

    Kuna jamaa kakupm
  4. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono vyuoni

    Hahaaaa awa watu bana sometimes lecture wanakuwa hawana namna
  5. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wafanyakazi wa ndani 2

    Uku jf bana
  6. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Elvis Peter HR Assistant wa Alistair Group (Kurasini) acha roho mbaya

    Ulichosema inawezekana kwa tz sikatai ila usije one maswali ni magum na kwamba awakuulizi yanayousiana na job description . Nilishawai fanya interview ya watu wa mashirika ya njee kwanza ilikua unaandika esay afu nikawa short listed nilibe rejected kwenye interview ya Tatu but nilijengeka sana...
  7. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Cheka na majibu ya watu kirefu cha neno dj

    Weka video nat link
  8. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kingine we unaona kimekuwa sasa kama ni sheria

    Ccm kushinda
  9. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Ramani ya jengo jipya ubungo terminal bus

    Source ya habarii yako mkuu please
  10. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Nimepanda meli ya Serikali kutoka Mwanza kuja Ukerewe mabaharia wanalia njaa sana

    Sasa hawa mabahalia wa izi meri..... Mhhh nimejitaidi kukukeep positive ila nimetoka through put
  11. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Gari ya jeshi iliyobeba Korosho yapata ajali; zaidi ya tani 30 za korosho zamwagika

    Wabongo mnanunua aga waap bangi
  12. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania Niliwaona wadada wawili wakivunja nazi mchana kweupe. Mabinti mnatatizo gani?

    Mkuu em subiri apo Kuna umbali wa mitaa ngapi na uweze kuona nazi inapotolewa na imepasuka vipande viwili... Hiiiii
  13. Faza confessor

    JamiiForums Tanzania MEYA KIMBE AJITATHMINI,ASIOGOPE FEDHEHA KWA KUWA MKWELI

    Em ukuje ujibu na wewe tuuma zako
Back
Top Bottom