Tatizo letu ni kuwa bado tuna kasumba ya ukoloni. Marais wengi wanaongea lugha zao mf mwingine Putin na rais wa ujerumani. Mwamkomalia Magufuli. Kuendesha nchi hakuhitaji kujua kimombo. Tuenzi lugha yetu kingereza ni lugha ya tatu kwetu. Mbona hawakomalii hao marais wengine. Mmfyuuuuu.
Hakupata. Ila nilikuwa nachangia kuwa ccm haikumkataa kama wanavyodai watu wengine nafasi ni moja tu. Yy alidhani ndio pekee anayefaa kuwa rais na si mwingine ndio maana alihama. Lkn waamuzi ni wapiga kura hivyo walifuta hiyo ndoto yake na kumchagua Mzee wa Hapa kazi tu. Lkn pia alisahau mamlaka...
Kwa kweli watanzania tunahitaji maombi. Zama zilizopita kelele kuwa serikali inacheka tu tulikosoa sasa serikali inajihadi kurudisha nidhamu ya kazi tunalalamika. Hivi tunajua tunachokitaka au ni fashion kukosoa
Hivi kweli kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani anaomba msaada kwa rais kwa suala la gongo? Basi tuna kazi wabongo. Viongozi wa vijiji/serikali za mitaa. Madiwani polisi jamii , polisi nk wanafanya kazi gn. Huyu naye anataka kuwa jip
Hivi kweli hata mapambano dhidi ya pombe haramu yanamsubiri rais? Viongozi wa vijiji/serikali za mitaa madiwani na wabunge wa maeneo husika nini wajibu wao. Polisi jamii na polisi hakuna huko?
Hata mtoto wa miezi mitatu hawezi kutembea. Kadri miezi inavoenda ndio anaanza kukaa kisha kutambaa halafu kusimama na hatimaye kutembea. Miezi mitatu kwa nchi iliyokuwa na matatizo ni michache kuanza kumtolea jicho mh. Rais kuwa hawaoni mabadiliko. Tatizo letu ni kuwa tunamwangalia Rais kana...
Maneno ya walioshindwa. Mwacheni Magufuli afanye kazi uchaguzi umeisha. Kila ck mmeibiwa kura mawakala wenu huwa wanalala vituoni wkt wa zoezi la kuhesabu kura.
Jamani tuseme ukweli nani aliyegombea aidha kupitia ccm au chadema ambaye hakutoa hata maji? Tena wasiseme rushwa ya chadema kupitia viongozi wake ilikuwa kubwa au ndio wamesahau. Lol
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.