R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Akiongea katika kikao cha 34 cha kamati ya ushauri ya mkoa, Mbunge wa Hai amemuomba rais na serikali yake kuweka mkazo katika kupambana na uuzaji pombe aina ya gongo mkoani Kilimanjaro;\
Amesema utengenezji pombe umezidi kushamili. Amesema kuna mtandao mkubwa wa wapika gongo kiasi kwamba wakikamatwa muda si mrefu wanaonekana mitaani.
Waziri Magembe ameunga mkono na kusema watendaji kata ndio tatizo. Hilo tatizo linahitaji nguvu ya kiroho na kiserikali, haswa iliyopo chini ya JPM.