Recent content by Faulisa

  1. F

    Zitto: Lowassa akikatwa jina CCM, atangaze mali zake ajiunge ACT-Wazalendo (audio)

    CEO hajajipanga kila siku anatoa matamko yanayozidi kumwacha utupu Anataka fisadi lowassa atangaze mali zipi zaidi ya zile za kimagumashi alizoweka kwenye tume ya maadili? --------- anahaha baada ya mipango yao kubumbuliwa na kubenea
  2. F

    Ben Saanane kuhamia ACT - Wazalendo siku ya Ijumaa

    Ben mchumia tumbo hana lolote acha aende kwa wanafiki wenzake waliopanga Mapinduzi bila mafanikio sasa wakajipindue
  3. F

    Dr. Slaa Hatatuangusha Watanzania

    Dr Slaa anasema anachotenda anapinga ufisadi ukimuangalia usoni anamaanisha ukiangalia maisha yake yanathibitisha ni kiongozi wa vitendo na maneno sawa
  4. F

    CHADEMA imehamharibu sana huyu Dada kisaikolojia! Any help out?!

    Kila akikaa akilala akiamka anaiwaza Chadema pole zake
  5. F

    Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

    Cheche zifuate kwa mafundi wa kuchomea vyuma Mwenyekiti BAVICHA yuko anafanya kazi ya kuimarisha chama
  6. F

    Ushauri kwa Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa

    Chadema ni chama imara kinafanya mambo yake kulingana na program walizojiwekea Hakiwezi kufanya kazi ya kuzungukia maeneo waliyopita mawakala wa magamba
  7. F

    Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Huwa hasemi akimaanisha 2008 aliandika waraka mrefu kuwa anaacha siasa anarudi kufundisha mara anaenda kufanya kazi kwenye maeneo ya vita Somalia ila bado tunaye Hivi majuzi alikana hahusiki na act leo ni kiongozi mkuu mwenye mamlaka zaidi ya yake ya mkiti wa chama chake
  8. F

    Tamko la mali na madeni ya Zitto Kabwe wa chama cha ACT Wazalendo

    Nilidhani umetuwekea hapa kwani alisema mtatangaza kwenye vyombo vya habari na Magazeti
  9. F

    Mkakati wa 'kuua' Red Brigade, huku Green Guard wakitamba huu hapa...

    Serikali kama iko na nia njema ilipaswa kupitisha sheria ya kuzuia vikundi vyote vya ulinzi kwenye Vyama vya siasa green guard ambao ndiyo waasisi hii mambo wakifuata hao wa Vyama vingine Kwa utaratibu huu wa kuvizia kukomoa Vyama vya upinzani hailisaidii Taifa zaidi ww aliongoza kwenye...
  10. F

    Jamila Omary anusurika kifo, ni kwenye ajali ya msafara wa Kinana akiwa Ngorongoro

    Makene tatizo waandishi hawana msimamo wanakubali kutumika wanaacha misingi ya kazi yao kwani wangekuwa na msimamo na nape akajua hilo asingewapangia cha kuandika
  11. F

    Jamila Omary anusurika kifo, ni kwenye ajali ya msafara wa Kinana akiwa Ngorongoro

    Magamba yanatoa kafara Chui hawawatoshi
  12. F

    Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

    Kwa namna gazeti limeweka watanikoma ni kauli ya zito
  13. F

    Hamad Rashid: Zitto ataondoka na wengi!

    Zitto ni mwanasiasa aliyelewa sifa Acha awe fundisho kwa wanasiasa vijana kuwa msingi wa kuendelea kuwa maarufu kwenye siasa ni pamoja na kuzingatia sheria kanuni na taratibu za Taasisi Alidhani yeye ni zaidi ya chama chake
  14. F

    CHADEMA yambwaga Zitto Kabwe Mahakamani, aamriwa kulipa gharama za kesi

    Sasa vikao vya chama vinakizie kazi ituondolee msaliti
  15. F

    Rais Kikwete anahutubia, wanawake wanapiga soga

    Hakuna cha tofauti huwa kazoea kupiga soga kwani ahadi atekelezi Anaongea utekelezaji sufuri wameona hata mkisikiliza haisaidii kwani kwa miaka 10 hajafanya chochote kumuinua mwanamke wa kijijini zaidi kawapa ulaji wale aliowateua
Back
Top Bottom