CHADEMA imehamharibu sana huyu Dada kisaikolojia! Any help out?!

CHADEMA imehamharibu sana huyu Dada kisaikolojia! Any help out?!

Status
Not open for further replies.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,989
Ni kama mke aliyeachika kwa mumewe ilihali she is still so dearly in love with her hubby!

JULIANA SHONZA,

Very pathetic and desperate, Hana lingine alijualo, alitakalo, alitamanilo, alihusudulo, na kwa kwa kweli analolimiss so badly, kama CHADEMA.

CHADEMA, Msaidieni huyu mama. Kama kuna haki yake mnayo, mpeni!

Naamini anapata shida na taabu nyingi sana na CHADEMA.

Ndio SIASA kwa wasio SIHASA!!!
 
Nakubaliana na wewe mkuu, huyu dada/mama sio bure... lazima kuna kitu huko chadema alikisahau hivyo ningeomba either uongozi umruhusu aende akakichukue or wamtafute alipo wakamkabidhi kama kipo
 
Kila akikaa akilala akiamka anaiwaza Chadema pole zake

Hali akashiba
Haogi akatakata
Hapiki chakula kikaiva
Hamwangalii mume hata kama tai imekaa upande aitengeneze kama mke
Halali akamaliza usingizi wake....nk nk kisa chadema khaaaa.... Jaman viongozi angalieni mnawezaje kumsaidia Juliana Shoza manake akiendelea hivi tutasikia kaachika siku sio nyingi
 
Naona post yake wamefunga comments, jaribu kuiunganisha na post yake ya Butiama tumpe stress zaidi... adrenaline na strres hormone ziendelee kuharibu cycle yake
 
Hali akashiba
Haogi akatakata
Hapiki chakula kikaiva
Hamwangalii mume hata kama tai imekaa upande aitengeneze kama mke
Halali akamaliza usingizi wake....nk nk kisa chadema khaaaa.... Jaman viongozi angalieni mnawezaje kumsaidia Juliana Shoza manake akiendelea hivi tutasikia kaachika siku sio nyingi

Huyu sidhani kama anajutia kuachika, idadi ya naniliu zilizompitia si anaweza kuzirudia tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom