Recent content by Fatuma kimimino

  1. F

    Sup

    Kwan ajabu ni nn?.Kwan udom ni kindergaten ili sup zicwepo?Acheni kuwa na mawazo mgando
  2. F

    mmasai na msichana mzuri.

    Duuh!ni kweli masai washamba Mi mwenyewe nshawai kukutana nao wakanisumbua sana..
  3. F

    Re: Ujinga

    ujinga ni ku-generalize wa2 ilhali kila mmoja alizaliwa kwa wakat wake.Ujinga ni kudhan kila anaevaa skuna ni mwl wa primary,wengine ni models.
  4. F

    Re: Ujinga

    godoro unaliona kama mkate,kikombe unakiona kama pipa,mchicha unauona kama mbuyu.
  5. F

    Hapa ndo kuna usalama

    Kweli kabisa..Kwa comment alotoa huyo mpigilie nashawishika kuamin kuwa sket anayoingia yy ndo ina smell like toilet.
  6. F

    Hapa ndo kuna usalama

    Swahba unamaanisha ndani ya ile sket kuna smell kama ya choon?Aaah jamaan
  7. F

    Imekula kwa nani kati ya hawa?

    Madaktar bwana,wanataka kila tatizo walifanyie practical.Matatizo mengine theory tu inatosha.Kwa dhambi hii dokta,tafunwa manake umekurupuka.
  8. F

    Stupid question, stupid answer

    Mtu anakuona unaenda library kusoma,anakuuliza vp unaenda kufanya nn,mwambie naenda kucheza sebene,mtu anakuona unaingia mckitin/kanisani anakwambia unaenda kufanya nn,mwambie naenda kula mubia/kulamba povu
  9. F

    Ajali ya wanasiasa!

    Duuh,hiyo ni sms sent kwa wanasiasa wote ol over the world.
  10. F

    Imekula kwake.

    Ama kweli akili ni nywele,kila mja ana zake...Muuza ice cream kalamba midola kiulaiini kabisa.
  11. F

    Ajali ya wanasiasa!

    Duuh,hiyo ni sms sent kwa wanasiasa wote ol over the world.
Back
Top Bottom