Imekula kwa nani kati ya hawa?

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,904
1,976
Binti alienda kwa daktari huku analia kwa uchungu!Mazungumzo yao yalikuwa hivi:
Dr:Unalia nini?
Binti:Nimemtukana boyfriend wangu kwa kumwambia yeye na mbwa mkubwa!
Dr:Heeee!Kwa nini?
Binti:Alikuja na kunibusu!
Dr:Kama hivi?{Anambusu binti}
Binti:Eeeh,hivyohivyo!
Dr:Halafu?
Binti:Halafu akanishikashika matt.
Dr:Kama hivi?{Anamshika}
Binti:Eeh,hivyohivyo!
Dr:Eeh...
Binti:Halafu akanivua nguo zote na kunipandisha kitandani,naye akavua!
Dr:Kama hivi?
Bint:Eeh!
Dr:halafu...
Binti:Tuka do mavituz!
DR:Ka---aaaa--ma hi-viiiiiiiiiiiiiiiiii??
Binti:Eeeeeehhhhh-arrrrrrrsghhhhhhh!!!
Dr:Halafu?
BINTI:Halafu huyo mvulana akaniambia ameathirika na UKIMWI,nA kunionesha vyeti!!!!
Dr:Aaaaaaaaaaaaaaaahhhh,wewe binti ni mbwa,shetani na mwanaharamu mkubwa!!!!!!!!!
 
Kila dhambi aifanyayo mwanadamu ni nje ya mwili wake, lakini dhambi ya uzinzi ni ndani ya mwili.
 
Huyo dk ni good entrepreneur, coz;- he use the opportunity effectively, he also take risk,
 
Duh Docta hiyo ndo faida ya onja onja,lkn siku moja tu ngoma haiingii maana hakuna mchubuano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom