huyu jamaa akili zake kama panzi hata hajielewi nani hakujui@surapaka au unataka kukiki kwa kutengeneza umbeya wa kijinga kwa Idara nyeti kama ya Diwani
Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Tanzania TTCL imesaini makubaliano na kampuni ya BBS ya Burundi kuhusu kutoa huduma za mtandao wa Internet.
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya TTCL Bw. Waziri Kindamba amesema, Makubaliano hayo yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 6 yatatekelezwa nchini...
Huo ndo ukweli na hakuna uongo hapo, maake walipanga kumuondoa kabisa Duniani
Lissu na Chadema walitaka kumuua haji kabisa na wakomae na wachanguzi wao peke yao
Sasa unaunga mkono matumizi ya simu mashuleni na kiburi cha kuharibu mali? Sitaki kuamini kuwa enzi za utoto wako ulikuwa kama hao wanafunzi waliokosa adabu
Waziri mkuu, Kassim Majaliwa amemwagiza Kamanda wa TAKUKURU wa Mkoa wa Singida, Adili Elinipenda amchunguze Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mkalama, Godfrey Sanga kwa matumizi mabaya ya fedha za umma.
Baadhi ya tuhuma alizonazo ni kujilipa posho ya safari Machi mwaka huu bila kusafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.