Mshana vip hizo ndoto. Zinaweza kuhusiana nanyumba tunazo panga sababu kunamara ninaotandoto ninakemea mapepo mpaka sauti inakwisha then nikifanikiwa kuwanyoshea kiganja cha mkono wangu unatoka Moto mkali nakuwamaliza hususani nikitaja jina la yesu
Samahani mshana huwa mara nyingi sana. Ninaota ndoto nina paa na ndoto hizo huanza katika mazingira yaku gombana zeni ninafanikiwa kukimbia mwishowe adui akinikaribia nina pasa naomba unieleze Nini maana take
Wakuu mimi Ndio nimekwisha jaribu biashara hi ya samaki nimechimba mabwawa mawili nakueka samaki elfin5 tano kwasasa wanamuda wa miezi miwili kamili TATIZO NI UPATIKANAJI WACHAKULA NINAPATA ILA BEEIPO JUU SANA YANI KILO 20 KWA TSH 50'000/= NAOMBA ANAYE JUA UPATIKANAJI WAKE KWA BEI NZURI TUWASILIANE
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.