Recent content by Fatherizzle89

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua tofauti kati ya bachelor of sciences with education na bachelor of education in science

    With Education Mwalimu anasomea masomo mawili kwa ajili ya kufundisha na inalenga zaidi sekondari na msingi In education Anasomea somo moja la kufundisha Huyu ni kwa ajili ya kufundisha chuoni
  2. F

    JamiiForums Tanzania Justine Kalikawe

    Hii inapatikana shida kuna albamu ilikuwa inaitwa Usimdharau Nipo tayari kulipa chochote kwa mwenye hii album kwa kweli Ilikuwa na nyimbo kali mno
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Namkubali sana Justin Kalikawe Nakumbuka kuna album nyingi niliwahi kuwa nazo ila katika harakati za utafutaji nikajikuta nipo nje ya mfumo kuja kurudi tape zote zimeharibika Nikiingia mtandaoni nakutana na nyimbo chache sana Sijui ndugu kama waweza kusaidia kupata hata kupitia familia yake...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tukifuata ushauri wa Professor Janabi tutaangamia kwa njaa

    Ndugu yangu naomba kama una nyimbo za #jkalikawe hasa ile album ya usimdharau
Back
Top Bottom