Recent content by father superior

  1. F

    JamiiForums Tanzania NAUZA ASALI YA NYUKI WADOGO.

    jamani nunueni asali kwa afya zenu
  2. F

    JamiiForums Tanzania NAUZA ASALI YA NYUKI WADOGO.

    Habari zenu? Nauza asali ya nyuki wadogo kutoka Moshi Kilimanjaro. Haijachanganywa na kitu chochote. Inatibu maradhi mengi kama mmengenyo wa chakula (digestion) kuondoa mafuta mwilini, kuondoa muwasho wa koo, kifua hasa kwa watoto, mafua, kikohozi, mtoto jicho katika macho na mengine mengi. Kwa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Ukikutana na situation kama hii unatakiwa ufanyeje..?

    Unavuta sigara, tembo hapendi sigara
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nimuache huyu msichana?

    Huyu binti hana kazi. Kipindi hajaugua alikuwa akifanya kibarua tu. Pesa aliyojitolea kwangu si kubwa ila ukubwa wake ni kule kujinyima yeye na akanipa mimi. Msema ukweli ni mtu wa Mungu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Anaemnunulia huyu baba suit over size Mungu anamuona

    Anabania pesa. Hizo suti atatumia miaka kumi hata anenepe vipi.
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, nimuache huyu msichana?

    Habari ndugu zangu, Ninakuja kwenu nikiwa na tatizo. Naomba mwenye ushauri wa kujenga anisaidie. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Nina msichana ambaye ninampenda sana naye sina shaka kuwa ananipenda sana. Toka nikiwa sina kazi, huyu msichana alikuwa bega kwa bega na mimi. Alijitoa sana...
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

    Hakumzuia, bali walipitiwa na usingizi
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

    Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

    Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

    Jamaa alilewa siku hiyo akachelewa kuamka na alilala na huyo mdada. Naye pia alichelewa kuamka. Kosa ndio liko hapo.
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Anaomba ushauri

    Salamu zenu wakubwa kwa wadogo? Ishu iko ivi, nina rafiki yangu wa karibu ambaye ameniomba ushauri. Mimi binafsi sijui nimshauri kipi kizuri. Naileta mbele yenu, wana JamiiForum hasa wanaume tumsaidie huyu ndugu yetu aokoe jhazi. Mada iko kama ifuatavyo; Ni mwanaume mwenye miaka 27. Bado...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Joram Kiango yupo sokoni tayari

    salamu toka kuzimu nitakipata?
  13. F

    JamiiForums Tanzania Joram Kiango yupo sokoni tayari

    Posta maeneo gani?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Joram Kiango yupo sokoni tayari

    Vinapatikana wapi? navihitaji pia.
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui nitumie njia gani anielewe?

    nimejaribu mara kadhaa nimeshindwa
Back
Top Bottom