Recent content by Fateema

  1. Fateema

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Labda alidhani LIKUD ni zamwamwa baada ya kuona kapost Uzi kuhusu mizimu na matambiko
  2. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka tukio la majambazi kuvamia Pugu Secondary mwaka 2003?

    Kweli kabisa mkuu huenda walimroga huyu watu wa kijijini kwao kwa sababu hao majambazi mwisho wa siku hata hawakuchukua chochote Cc LIKUD
  3. Fateema

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Kumbe unacho pinga ni kipi? Maana kama ni ndoa zinavunjika Sana na zinavunjika kwa uadui mkubwa wa kufikia hata kuoana.. Hadi Bahati Bukuku mwimbaji wa Injili karma wimbo unaitwa " Majeruhi wa Ndoa" akizungumzia ndoa yake na alicho kiimba ndio asilimia kubwa ya ndoa zipo hivyo
  4. Fateema

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Mkuu Ina maana wewe huoni ndoa zinavyo vunjika kwa wingi Tanzania kiasi cha kuitwa janga? Mpaka wasanii wa musicians wanaimba nyimbo kuziponda ndoa..
  5. Fateema

    JamiiForums Tanzania Sababu za kiroho kwanini ndoa za kanisani (kikristu) na msikitini (kiislamu) huwa hazidumu

    Huku kwetu kusini watu wanaona Leo baada ya mwezi wanaachana na wakiachana hawakai mwezi wanaingia kwenye ndoa tena.. Zanzibar na Mafia ndio balaa. Na wote hao wanafunga ndoa za kiislamu.. Watoto kibao siku hizi wanaishi kwa Bibi zao
  6. Fateema

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Ni watu wa Kilwa na mmoja mdengereko/mzaramo..eneo ni dar kusini, Mbagala
  7. Fateema

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Imagine mtoto wangu msichana kafaulu form four kapata one kapatwa na uchizi ghafla
  8. Fateema

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Nimejaribu njia zote hizo in vain.. I have to go back home. Watu wa kusini wabaya sana..
  9. Fateema

    JamiiForums Tanzania Vita ya wachawi na washirikina imenishinda uswahilini. Nahama nauza vitu vyangu vya ndani

    Nimekoma kukaa uswahilini. Vita ilianza nilipo nunua kiwanja karibu na sehemu niliyo panga halafu ni kaanza ujenzi. Kiwanja chenyewe cha milioni moja na laki nane na malipo nilifanya 4 instalments. Then ni kaanza ujenzi wa kudunduliza. Niliishia kupiga msingi tu biashara ikakata. Ikafikia...
  10. Fateema

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu ya kuzama kwa MV Bukoba tarehe 21 May, 1996

    Meli si ilipinduka saa moja asubuhi?
Back
Top Bottom