Lakini serikali imeanza vizuri kwenye sekta ya madini na biashara za rejareja katika Sheria iliyopitishwa mwaka Jana japo inahitaji kuendelea kukaza zaidi
Kuna biashara zinatakiwa ziwe strict Kwa wazawa, retail, uuzaji magari yawe madogo ama makubwa. Export ya bidhaa za mikono NK maana supply chain ya ndani Tanzania iwe preserved Kwa Ajili ya wazawa
Ok, Kwa Sasa tutawaita wawekezaji ila at the end watoto wetu watalia sababu these people hawawajali wazawa, wakwepaji wazuri WA Kodi , kama kwao palivyo strict na wanakwepa Kodi je huku?
Changamoto ya wachina NI kubwa Sana. Wao wanaenda iringa kukata miti wanaexport kupeleka kwao, kisha huku wanakuja kufungua maduka makubwa kutuuzia finished goods
Umeongea ukweli mchungu Sana.
Kwa Sasa tusipomuomba Mungu toba atuondolee hii laana.
Niulize je malighafi zetu zikitoka hapa Halafu watoke huku akina massawe wakafungue viwanda vya kuprocess huko nchi zinapoenda watakubaliwa?
Watadai mitaji haya , vyakula semi processed tunavyopeleka nje kama...
Mheshimiwa , Mimi naona NI vema wanaume tukaangaliwa pia, kama mtoto. Kafikisha miaka 7 apeleke Kwa Baba yake.
Haya mambo yapo na shida sio upande WA wanaume Tu ni kotekote. Kama motto NI below 6 years mwanaume ahudumie Sawa sawa na uwezo wake ila motto kama akifikisha 7 years ,Baba aruhusiwe...
Habari
Natafuta gari za tanker za mafuta zenye vibali vya transit. Trip ni kwenda Mzuzu,blantyre na lilongwe.
Zinahitajika gari 10.
Malipo advance 70% ,balance 30% after offloading.
Loading point- Tanga port
Product: Diesel and petrol
0692595127
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.