Recent content by fasiliteta

  1. fasiliteta

    Rostam: Baada ya Lowassa kukatwa niliondoka lakini Magufuli alinipigia simu na kunisalimia kwa kisukuma akaagiza nirejee nyumbani tujenge nchi

    Pamoja na tuhuma ila Rostqm/chenge/lisu/warioba ni watu wenye uwezo mkubwa sana kwenye fani zao
  2. fasiliteta

    Wanawake hufa mapema kuliko wanamume

    Utakua wewe ndo una matatzo,unaangazia Takwimu kisa kwenda kutafuta? Huko unaposema kama wanafanya mazoezi ndo wanaume hupukutika kwa majanga mbalimbali wanayokumbana nayo(risk ni kubwa sana). HATA WAO HUSEMA USIJE KUFA KABLA YA KUTUACHIA KITU😄
  3. fasiliteta

    Belgium, kutambua taifa la Palestina katika Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, kuiwekea vikwazo Israel

    Israel ni washenzi na wanapaswa kutengwa na Dunia iliyostaarabika.
  4. fasiliteta

    Orodha ya makampuni legit yanayota huduma za online business

    Ya nje au ya ndani? Ila pia kuna hawa wanajiita AGIZA CHINA.washatapeli sana eatu,washawaletea sana watu maronya hasa wanawake. Yani ktk Agiza china kwenye 10 labda mmoja,wengine vilio
  5. fasiliteta

    GE2025 Slaa: CHADEMA haifanyi uchaguzi sio kwa ajali

    Msimamo wa chadema mpaka ccm wanawaonea wivu jinsi watu walivyoacha maslahi ya matumbo yao na kufikiria zaidi wananchi. Hii NRNE imewaeka mioyoni ya waTZ sana
  6. fasiliteta

    Kuna Jamaa ananidhulumu hela yangu. Nikienda Polisi nitapata haki?

    Atakulipa,police hakuna case ya madai Zaid ya mahakamani. Kua mvumilivu aiseee Yani ni few days tu daaah,watu wanakaa mwaka wanskizia na wanalipwa
  7. fasiliteta

    Urusi yafanya shambulio la pili kubwa zaidi la anga Ukraine, ikiwaua zaidi ya watu 23 na kuharibu jengo la Umoja wa Ulaya

    Unafikri wenzio hawana akili majuha? Unataka tusitishe vita huku wewe ukiendelee kujiimarisha na kujiandaa na vishambulizi vya hapa na pale. Ndo mana waungwana kama Russia wanawakumbusha tekeleza unachojadili amani na SI uki back fire
  8. fasiliteta

    Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Polepole kama ngariba tu,ana tahiri kwa kisu Kikuyu. Ni maumivu TU no ganzi. Wenyewe wanakwambia lazima tuweke kumbukumbu sawa😄
  9. fasiliteta

    Mshikaji niliyeajiriwa naye pamoja amenipa hasira sana wakuu

    Hapo hapo ulipo ni fursa, control your environment baaaaasi
  10. fasiliteta

    Naomba haya maswali yajibiwe na INEC na NIDA kama kweli Polepole kasema uongo vinginevyo Inatia mashaka

    Hivi ligi kuu inaanza lini tena!! Yani kama Iko mbali inaweza hata kurudishwa nyuma ianze ili tubishanie Yanga na Simba. Sisi ndyo waTZ
  11. fasiliteta

    Tathmini ya Vita ya Urusi na Ukraine. Imeshtua watu wengi sana. Hali inatisha

    Daah Hivi vituko vya west na propaganda zao nyepesi katka Dunia ya technology,Hivi hizo media angeshika Urus ingekuaje? Yani tangu kuambiwa Russia kaishiwa 2022 mwishoni mpaka leo ni moto TU. Ubaya wa Trump na Elon ni wakweli sana ndo mana wanapambana vita iishe otherwise ni aibu kwa west na...
  12. fasiliteta

    Urusi yagoma kurejesha maeneo ya Ukraine

    Hilo wanalijua Amerika,Damu za mashujaa zikimwagika kutwaa eneo kwa heshima yap ni mwiko kulirudisha.
Back
Top Bottom