Recent content by Farm with Davido

  1. Farm with Davido

    Nguruwe kujikuna na kuota vidonda

    Possibly ni 'mange disease' / ukurutu hakikisha wanapata dawa za minyoo (ivermectin) kila baada ya miez 3.
  2. Farm with Davido

    Bashe: Hatuwezi kutumia mbegu za GMO kwa sababu hatujui nani anazimiliki, pili uzao wake ni mdogo tulijaribu kwenye Pamba!

    Mkuu hizo unazoziona sio GMO hizo ni hybrid seeds, kwa msaada zaidi kujielimisha kuhusu GMO vs HYBRID...ChatGPT
  3. Farm with Davido

    Nafungua mgahawa

    Hongera kwa wazo mkuu, ukitaka Logo, au posters kali kwaajili ya ku promote biashara yako ya mihogo PM yang iko wazi mkuu, ntakufanyia kwa bei nzuri sababu we ni jf member mwenzang!.
  4. Farm with Davido

    Nisaidieni kuhusu biashara ya kutengeneza matofali

    Hv hakunaga mashine za kutengeneza matofali ya kuchoma?
  5. Farm with Davido

    Hivi tukiamua kuachana na shilingi tukatumia dolar itakuwaje?

    Sorry, yawezekana una point, lakin unaweza kunielezea like unamsimulia mtoto wa darasa la kwanza!.
  6. Farm with Davido

    Mwaka 2023 nitafia shambani, eeh Mungu nisaidie!

    Hongera sn mkuu kwa uthubutu, lakin hebu fanya mpango wa kilimo cha umwagiliaji tengeneza miundombinu ya umwagiliaji shambani kwako mana investment unayoifanya kutegemea mvua tu pekee haitoshi. Na kwa members wengine ambao mnahitaji mashamba ya kukodisha, nakodisha mashamba yangu mwenyewe...
  7. Farm with Davido

    Ushauri kuhusu ukuaji wa kuku wa kienyeji ndani ya wiki 4 hadi 5

    Hii mada ungeipeleka kwenye jukwaa la kilimo. Lakini kwa kujibu swali lako chakula cha kisasa kwa kuku wa kienyeji hakitawasaidia kukua haraka sababu ya genetics materials walizonazo ni tofauti na kuku wa kisasa. Wape chakula chenye mchanganyiko wa kawaida tu. Kama umelenga kufuga kibiashara...
  8. Farm with Davido

    Huyu mwanamke ni sahihi kuniambia maneno haya?

    Kwanza mmefikaje fikaje hapo... sababu siamini kama ni ishu imeibuka siku moja tu, lazima kulikua na vimaneno maneno na mienendo flan hv mpaka mke kutoa kauli hiyo. Hebu dadavua kidogo..!
  9. Farm with Davido

    MSAADA: Mwenye kujua taratibu za kilimo Cha tikiti

    Ulitoa tikiti mwezi gani, na bei ilikuaje?
  10. Farm with Davido

    Msaada wa dawa ya kuuwa/Kuzui wadudu wanaokula mahindi shambani

    Ni wadudu common sn kweny zao la mahindi, kwa kitaalam wanaitwa Fall Army Worm. Sasa inategemeana na eneo uliopo dawa gani znapatkana sn huko. Mifano ya dawa inayoweza kukusaidia kweny tatizo hilo (based on brand names) Dk lufu Wilcron Profecron Duduwill Wahi usije ukapoteza zao hapo.
Back
Top Bottom