Recent content by FarLeftist

  1. FarLeftist

    Nini tafsiri ya maneno haya

    yah asante kwa marekebisho kidogo hapo
  2. FarLeftist

    Nini tafsiri ya maneno haya

    Haya ni maombi ya ruhusa kwa mahakama ya juu kutoa tafsiri, kutatua utata, kutoa maamuzi au marekebisho baada ya kupitia maamuzi ya mamlaka za serikali.
  3. FarLeftist

    Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums

    ...Nguvu tunazo, uwezo tunao, sasa wanatutafutia sababu tu.....
  4. FarLeftist

    Judicial precedent if any

    YES, please refer to section 14(1) and (2) of the Law of Limitation Act (CAP 89 R.E 2002), there must be reasonable or sufficient cause to do the same.
  5. FarLeftist

    MSAADA WA KISHERIA [Shamba Langu Limevamiwa na Aliyeniuzia]

    Je mliingia mkataba wowote wa mauziano? Je shamba hilo lina mipaka inayofahamika? Je mipaka hiyo iliainishwa kwenye mkataba wa mauziano? Serikali ya kijiji (Afisa Mtendaji) iliidhinisha mauziano hayo, vipi kuhusu mashahidi? Kama maswali yote hapo juu yanajibika ndiyo unaweza kuwashitaki...
  6. FarLeftist

    Putin achaguliwa kuwa Rais wa Russia

    Illuminati - The People of the "Higher Up"
  7. FarLeftist

    Open letter to all the men I loved before

    loser!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. FarLeftist

    Naomba tofauti ya activist na politician

    mwanaharakati anaweza kuwa mwanasiasa, ila mwanasiasa hawezi kuwa mwanaharakati....
  9. FarLeftist

    Nape: Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni CCM!

    sasa kauli hii inatofauti gani na kauli za Gadafi kabla ya mapinduzi ya NTC?
  10. FarLeftist

    Tanzania: Crisis kubwa inakuja

    kweli wewe ni Great Thinker BRAVO!
  11. FarLeftist

    Tendwa: CCM inaporomoka na upinzani unakuwa kwa asilimia 40

    duh ukiona mpaka tendwa anasema ukweli.............
  12. FarLeftist

    Picha: Chadema warudisha fomu Igunga

    alaf watuibie kura waone
  13. FarLeftist

    NALETA UCHUMI UNAOPAA: Jakaya Mrisho Kikwete

    kama alisema anauleta tusubiri huenda ukawa njiani
Back
Top Bottom