Recent content by farajikirenga

  1. F

    Edward Lowassa Mtu wa Watu!!!

    Kweli kipenda roho ula nyama mbichi. Hata huyu ni kipenzi cha watu? Ukabila udini ubabe. Muongo n.k Ila ukipenda kitu hata kama ni uchafu lazima utakisifia.
  2. F

    Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

    Kubenea mwandishi wa habari. Unaona nini ajabu kukurupuka kwake? Hawa wanajua wanachokifanya .
  3. F

    Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

    Tatizo kubwa ham u angalii mwanzo wa jambo bali mnatoa lawama mwisho wa jambo. Hapo utapata jibu kweli?
  4. F

    Mkuu wa Mkoa Dar na Halima Mdee (MB)

    Shida ya wa tanzania ni moja siasa na utendaji wameviweka sehemu moja. Ili ndiyo tatizo chuki ni mwanzo wa kutokutumia busara kuangalia jambo au kuchangia hoja.badilikeni.
  5. F

    Rais John Magufuli akiwa na First Lady wa Tanzania Mama Janeth Magufuli katika ubora wao

    Historia. Tumia akili za kichwa wachana na akili za kwenye zipu
  6. F

    Ofisini sasa jivi ni mwendo wa MagufuLunch

    Mkurugenzi wa jiji la arusha una habari ya ufisadi unaoendelea hapa Kata ya kati kupitia kitengo kinachojinasibu cha mazingira? Wanagawana fedha za wananchi kama pipi. Unakuta wanaingia kwa wananchi mpaka ndani na kukagua na kumpiga faini ya laki tatu. Akijaribu kuoji anatishiwa kuwa...
  7. F

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Huyu mzee tatizo kubwa ni uchu wa madaraka. Ana ndimi nyingi huyu. Kule kwao kama kweli ni mwarusha anaitwa makaa. Makaa ni kundi linalosifika kwa ubishi.
  8. F

    BAVICHA tumewazoea

    Nashauri wa bure. Kweli kama ukawa( ukiwa) wanasema kutoka moyoni kuwa spika atoke nje ya wabunge wateule. Basi waanze na kutuonyesha Mfano wa majimbo walioshinda madiwani tuchague meya kutoka nje ya madiwani waliochaguliwa.
  9. F

    Hapa Kazi Tu, Majungu yapo UKAWA

    Brilliant man our madam.
  10. F

    Hapa Kazi Tu, Majungu yapo UKAWA

    Nakupa tano hapo
  11. F

    Kingwendu huyu hapa

    Jamani nisaidieni huyu mrema wa register ya mahakama ya appeal ni nani hapa arusha? Anatesa watu sana ebu nisaidieni nani yuko nyuma yake. Kwanza anafanya kazi kwa kupenda. Mbili anairikadi ya kisiasa ndani ya ofisi ya serikali. Nijuzeni kama mnamfahamu.
  12. F

    Mafisadi wanazidi kuikimbia CCM na kujiunga na CHADEMA/UKAWA

    Unaona sasa mtu asiyetumia kichwa chake. Hapa matusi ya nini?kweli ukawa)ukiwa )
  13. F

    UKAWA wanaogopa mpaka wanafunika TV zao

    Mdomo mali yako kakutunuk mungu kodi ulipii. Badilika.
  14. F

    Picha yangu ya leo ya serikali: Gazeti la Mtanzania

    Haaaaa haaaaaa Kweli mambo .
  15. F

    Viroba na UKAWA

    Tunaposema ukawa ni ukiwa ndiyo watanzania waache ushabiki wa kushabikia saccos ya kikundi cha wapiga dil. Watoto wake wako ulaya. Mbowe wako Canada baba mkwe ameshamsaid kusomesha.
Back
Top Bottom