Recent content by farajakwangu

  1. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Walisambaza picha ya ng'ombe akila nyanya kuonyesha sijajenga viwanda, ila nimepata suluhu

    Yaan utafikr katoka kwao jana.....
  2. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Walisambaza picha ya ng'ombe akila nyanya kuonyesha sijajenga viwanda, ila nimepata suluhu

    Hiv hata kiwanda cha visu kama kile cha MECCO pale keko kinahitaji mabilion kukianzisha
  3. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Nafikiri hakuelewa niliyemcoment, maana yangu ilikuwa moja tu, mapadre wa kikatoliki ni wasafi katka elimu wala hakuna ubabaishaji lakin huko sefrikalin au hao mawazir usishangae ukakuta anayemkagua mwenzie naye anacheti fake kitu ambacho kwa mapadre hauwez kukutana nacho. Umenielewa mkuu !
  4. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Achekiwe na nani, labda mapadre wa kikatoliki wafanye kazi hiyo.
  5. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania NIDA: Madudu Cheti kimoja watumishi zaidi 3, Watumishi watumia majina ya marehemu

    Ukionaivo ujue kaguswa
  6. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Kizaa zaa kitaanza wananchi watapomaliza kula akiba!

    Ukiona hivo vitu vinauzwa hovyohovyo hata kama ni familia moja jua kwamba ni hatari
  7. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Hongera Dr. Diodorus Kamala

    Kwa nn aliacha ubalozi !!!??
  8. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa: Container zote za import kubaki bandarini

    Halaf washangiliaji wengi ni wale ambao wala hawajui mzunguko wa hela unaendaje, wao wanadhan kwa vile flan katumbuliwa labda hizo hela zitaamia kwao
  9. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waanza kuiga mambo ya ACT Wazalendo

    Alf hawa jamaa hawajui watz wanataka nin au binadamu by nature huwa anataka nin, wao wanafikr kuipinga chadema inaweza kuwasaidia kutoka, kwa ninavoziona siasa za nchi hii ACT wanajizika mazimamazima.Muda utatwambia
  10. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu apokea msaada wa mil. 660 kwa ajili ya tetemeko, asisitiza michango yote itaenda Bukoba

    Inasikitisha, hauwez amin kama wanachofanya ni sahihi.
  11. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

    Heading tu nimesoma, unaonaje na kumbi za starehe zikafungwa, viwanja vya michezo vina kaz gani au hata vipindi vya mziki kwenye radio na tv ni vya kazi gan, mbona maisha yako vilevile baada ya kutoonesha bunge live??.
  12. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Kipi Muhimu Zaidi Kwa Waathirika wa Tetemeko? Kutembelewa na Kufarijiwa kwa Pole Tu, au Kusaidiwa?

    Posco wakat mwingine huwa sikuelewi japo maadishi yako yanavutia kuyasoma, elewa kuwa sikila maala uhitajika hela bali hata mkono tu inatosha watu kuwa na aman mioyoni mwao.Mfno. rais anapohamua kuwapa watu mkono anapotembelea maala kwanin watu waugombanie huo mkono wa rais ? Je unanin cha ajabu...
  13. farajakwangu

    JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Lipumba vs Maalim Seif

    Kama tumbon hakuna kitu uprof ni kaz bure
  14. farajakwangu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

    Lekebsha mwandko kwanza kiswahli imekuwa hivo lugha nyngine itakuwaje
Back
Top Bottom