Jamani, suala hapa c kiasi cha fedha cha mtu kuwa nazo, suala ni mtu gani kwa dhamana ya nani, jua kuwa kama alikuwa kikazi kweli hiyo ni hatari itabidi wakati wa mchakato wa katiba posho zote ziangaliwe kwa makini, pia najiuliza? hivi mtumishi anae fanyakazi serikalini ana tofauti gani na...
Lissu, Mnyika na Mchungaji. Nashauri Dr Slaa asiwepo k'sababu atabanwa asifanye kazi za Chama kikamilifu ila yeye na Mwenyekiti watatumika kwenye kamati zao za ndani ya chama na wajumbe husika kwa mambo ya msingi, pia njia ya mtandao hutumike kuwasilia na wadau kwa mawazo waandae dodoso! peoples...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.