wakuu samahanini,natumai muwazima wa afya,mwenzenu nduguyenu ni mfuatiliaji wa hadithi za huyu mwamba mwandishi,nampongeza hadithi zako (hadithi zake) nzuri sana,mtunzi na mwandishi bora,
NINA CHANGAMOTO MOJA KUZISOMA MTIRIRIKO UNAKUA HAUPOSAWA INATOKA 20 INAENDA YA 40/70 hasa hii ya GEREZA LA...