Recent content by faraja ya moyo

  1. F

    Ushauri: Nimechoka na hii hali ya kuachwa na wanaume

    Exactly, wewe umeongea kitu cha muhimu sana, wakati mwingine roho za kichawi huwa zinafunga mabint wengi sana, unakuta mtu ana sifa zote na anajitahidi kujiheshimu, anamvumilia mtu lkn bado anamuacha pasipo na sababu, ya msingi, ile roho ya kukataliwa anatembea nayo, kila mwanaume anamuacha...
  2. F

    Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Kuweni wakali, lakini kabla hujampa hiyo hela aliyoomba mchunguze kwanza mkuu
  3. F

    Wanaume mmeyafanya mapenzi kuwa biashara

    Umejibu vyema mkuu, niongezee tu hapo kuwa huyo mwanamke ana mahusiano gani na huyo mwanaume, kuna uhusiano wa kirafiki au ushkaji tu, na uhusiano wa mapenzi, sasa kumuomba mwanaume ambaye ni rafiki wa kawaida haina shida, lakini kama ni mpenzi hilo ni tatizo kubwa na linawakatisha wanaume wengu...
  4. F

    Mwanaume aliye tayari kwa urafiki, uchumba hadi ndoa anahitajika

    Habari ndugu zangu, nawasalimu kwa jina la JF.. Upendo uendelee. Natumaini mu wazima wa afya, lakini pia tuwaombee wale ndugu zetu wanaotamani kuwa humu lakini wameshindwa kutokana na sababu zisizozuilika. Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, mimi ni mtu wa jinsia ya kike. Sifa zangu...
  5. F

    Nimemwachia mali zote, naanza upya

    Pole sana kaka yangu, hii dunia ina changamoto nyingi sana, mahusiano na ndoa vimekuwa jehenam kila kona, mauaji ukatili wa kutisha na mafarakano mengi yanatokea kwenye sehemu hii, yani ni kilio kila kona, wale tuwapendao na kuwathamini wamegeuka kuwa chanzo cha kilio kwetu, story yako...
  6. F

    Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

    Sio kweli, kuna watu wapo serious sana na wanachokiandika, yes kuna baadhi they are looking 4 financial support lakini kuna wanawake wengine wana uwezo na hawana tamaa za pesa zenu, only thing wanachohitaji ni true love.
  7. F

    Kuoa mwanamke anayeishi Dar ni zaidi ya kuvaa bomu

    Huyo wa Dar uliyekutana naye ndio kimeo, but wapo wanawake wanaishi Dar watulivu tu wenye heshima na wanaotambua thamani zao, so dont generalise
  8. F

    Naomba kujuzwa kuhusu utoaji notice kwa wenye nyumba

    Msaada, ni wakati gani unaweza kupewa notice na mwenye nyumba ikiwa umechelewa kulipa kodi yake kwa mwezi mmoja? Na ni condition gani anatakiwa afuate kukupa hiyo notice? Asanteni wakuu naamini nitapata majibu sahihi hapa.
  9. F

    Ni bora kuoa mdada mwenye mtoto kuliko asiye na mtoto

    Inategemes waljachanaje ns mzazi mwenziekuna watu wanaumizwa vibaya, wakiachana ni mazima, hakuna kukumbukana tena
  10. F

    Ni bora kuoa mdada mwenye mtoto kuliko asiye na mtoto

    Duh, akili kubwa sana hii, hakika umejua kututia moyo, ulichoongea ni ukweli mtupu sio kila single mom amependa kuwa hivyo, wengine ilitokea bahati mbaya tu, na sio kweli kuwa labda hao single mothe ni malaya, wapo waliotulia na wenye misimamo, na ni kweli kuwa akikupenda amekupenda kweli coz...
  11. F

    INAUZWA Friji linauzwa

    Friji linauzwa, bei ni tzs800000, mazungumzo yapo, haina shida yoyote, kwa maelezo zaidi piga 0759804130
  12. F

    Ladies, unaweza kuanzisha naye maisha?

    Pole, sio wewe tu yanawakuta wengi, mtu unamkuta hana hata mwelekeo lkn unampenda the way alivyo, ila baadae anakuona hufai na anakudharau
Back
Top Bottom