Recent content by Faraja j

  1. F

    JamiiForums Tanzania Je, Wakristo wanajua Kiebrania kama Waislamu wanavyojua Quran/Kiarabu?

    Kutafsiri ni kutafsiri tu,kama kutafsiri kitabu ni kupoteza maana basi vitabu vingi vimepoteza maana. Kwanini Quran inatafsiriwa kiswahili jibu ni moja mswahili hawezi kuelewa kiarabu ataishia kukariri tu bila kujua maana na lugha nyingine pia zinatafsiri Quran kwa lugha zao.sasa kwanini mtu...
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Sijui kama umenielewa, huyu wifi yangu katoka kwa mume wake kaja hapa kwa kaka yake kuishi.ishu inayokuja kwa mfano hapa kwangu nina ratiba ya chakula asubuhi mchana na jioni,asa utakuta ratiba yangu jioni ni kupika hiki yeye atapika kile,hafu maagizo yote hela huwa namuachia binti wa kazi...
  3. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliwahi kupata mikasa gani kwa kuishi kwa ndugu?

    Duh ila ndugu wa mume jamani kuishi nao yataka moyo.nimekuja kugundua kwanini watu wengi wanaishi na ndugu zao kuliko ndugu wa mume.nikiishi na mdogo wangu namtuma nitakavyo hata nguo zangu nampa anifulie hutomsikia kunung'unika, ndugu wa mume mtume hata mara moja ukoo wao mzima watajua . Nako...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Unaweza kufanya huu mjadala bila kufanya dhihaka kama hauto jali,. Afu kama nlivyosema ukristo ni mambo ya rohoni itakuwa ngumu sana kwa walio wa mwilini kuelewa mambo ya rohoni. Kama uko interested sana unaweza ku join ili ujue kwa fahamu zako. Na moja zaidi ni kwamba ukristo sio dini japo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Usijali tunasoma zamani watu walikuwa wanatembea uchi kabisa. Wakavaa magome ya miti. Ukristo ni mambo ya rohoni .utaratibu upo kwaajili yangu mimi na sio mimi kwaajili ya utaratibu.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Hata ujio wa Yesu ulitabiriwa agano la kale. Wakristo tunatambua agano la kale vyema kabisa. Agano la kale lilisema atakuja masihi kuwakomboa watu wake ndiye Yesu sasa. Hata hilo la ndoa moja ni Yesu alietukumbusha hiyo kweli iliyokiwepo kabla dhambi haijaingia. Yeyote atakaye mwamini ataupata...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hatarii! Sisi sio mabubu sasa kwanini tukae kimya wakati tumekutana? Nimefafanua kwamba huwa tunakutana kama ilivyo desturi ili kuonyana na kufundishana.tutafundishanaje bila kuongea?! Maandiko yanasema kwa moyo mtu huamini kwa kinywa mtu hukiri
  8. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Ukiitaka biblia iendane na maisha ya sasa ni kuitaka iruhusu ushoga pia. Sasa itakuwaje siku ya hukumu?! Ndiyo maana walioishi miaka mingi iliyopita au watakao ishi miaka mingi ijayo biblia ni ileile na upanga uleule. Mwanaume hata akioa wanawake 10 bado atataka aongezewe mpaka sasa Mungu...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Kwanza kabisa neno la Mungu ni lilelile juzi leo na milele hakuna kitu kama ukisasa kwenye neno.Mungu hafuati matakwa ya mwanadamu bali mwanadamu afuate matakwa ya Mungu. Kinachopingana na Mungu kinatoka upande wa pili. Biblia haiwezi kukinzana yenyewe yaani mtu aoe then iwe na option ya...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Kuhusu ibada za kikriso maandiko yanasema Yohana 4:24 kwamba Mungu ni Roho nao wamwabuduo imewapasa kumwabudu yeye katika roho na kweli. hivi ndivyo wakristo tunamuabudu Mungu,ndivyo tufanyavyo ibada. Sisi tunasali Rohoni wakati wote 24/7 tuwe kazini barabarani shambani vitani usingizini...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio kitabu pekee kinachojibu maswali Mengi kumuhusu binadamu na maisha yake

    Mungu ni roho,alipomuumba mtu kwa mfano wake aliumba roho mwanadamu kabla hajaupata mwili alikuwa roho.mwili tuliupata pale Mungu alipotutaka tuje kuishi duniani.aliufanya mwili kwa mavumbi kisha akatuweka humo. Mwanzo 3:7 7 Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Ndicho ninachokisema walio wa Mungu Mungu huwatambua kwa maamuzi yao wanapokuwa katikati. Kwahiyo lolote atakaloliamua mtu huyu labda ni kumpa maji au kushika sabato ndicho kitakacho amua hatima yake
  13. F

    JamiiForums Tanzania Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

    Hakuna dini iliyo bora kuliko dini nyingine. Hakuna dini itakayoingia mbinguni. Mbinguni hakutakuwa na swali la "ulikuwa ukiabudu dini gani" wanaoabudu katika roho na kweli tu ndio watakao ingia. Wasiofungwa na misingi ya kidini bali ya Roho mtakatifu. Kama ukimwona mtu anagalagala anakaribia...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mtu akiwa peke yake ana enjoy vitu vya ajabu sana. Ukipata nafasi kuwa unamwangalia utashangaa

    Khaaa jamani.nimecheka kidogo nijikojelee. Dunia ina watu hii.thanks 4 makn my day
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna kiashiria chochote cha tabia kwa mtoto anayenyonya kidole?

    Mfunge plasta hicho kidole anachonyonya mpaka atakaposahau na kuacha.wakati mwingine inakujaga kuwa ngumu sana kumuachisha mtoto kidole akiishazoea sana
Back
Top Bottom