Recent content by Fara Medi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Nairobi, Kenya: Tundu Lissu aituhumu Serikali ya Tanzania kwa jaribio la kutaka kumuua na Bunge kutomhudumia Matibabu

    SEREKALI YA UMAREKANI, IMEMWAGA DAMU MAHALI PENGI TUU. URUSI NDANI YA UKRAIN NA CHECHNIA, KENYA YA AKINA KENYATTA SNR, MOI, KIBAKI NA UHURU NA RUTO. NA HUYO HUYO UHURU NA SEREKALI YAKE JUZI JUZI TUU WAMEWAUA WAKENYA 46 WA UPINZANI KWENYE UCHAHUZI, NA WAMEPORA USHINDI. LAKINI BADO CHADEMA...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Bashe: Nimepata hofu taswira ya sisi viongozi, badala ya kujadili mambo kwa misingi ya hoja tunajadili ukanda

    Bashe ni the Only Mbunge makini na mwenye uweledi. he is Honest, Focused and a true nationalist
  3. F

    JamiiForums Tanzania Addo Shaibu: Zitto Kabwe Hana Mpango Wa Kurudi Chadema

    Inasikitisha Zitto anaomba msaada Chadema, Jee hii inamaanisha kuwa chadema iko juu zaidi ya ACT, Siasa za mbowe na Lowassa ni more advanced ? Kwa hili ndugu Zitto amejiangusha vibaya sana kwenye ukumbi wa siasa, kwani ilikuwa chadema imuombe yeye ajiunge na Ukawa. Kama kumbukumbu yangu ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa Dr. W. Slaa kwa shambulizi lisilo na utu dhidi ya T. Lissu una maana gani?

    Mbona hata muanzishi wa Chadema Mtei hajazungumza? Pili Dr Slaa ni mtu mwenye msimamo, na sio mtu wakujikomba komba, wala hahitaji kiki za kisiasa. He is a very credible man, unlike akina Zitto ambaye juu ya kudhalilishwa na Mbowe na Lissu lakini yeye anakuwa wakwanza kuwakimbilia na...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    candidate Raila Odinga four days to polls By Stephen Mkawale and Robert Kiplagat | Published Thu, August 3rd 2017 at 13:32, Updated August 3rd 2017 at 19:32 GMT +3 SHARE THIS ARTICLE Share on Facebook Share on Twitter A section of Maasai leaders from Kajiado and Narok Counties converged in...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakama ya Kisutu: Tundu Lissu apata dhamana

    Mwananchi wa kawaida, anahangaika kutafuta chakula cha mchana huku hajui cha usiku atakipata wapi. hawezi kuwa na uzembe wa kutukana Raisi wa nchi. Walio shiba na wateja wao ni vyama vya siasa na Mashirika ndio wanaotumia kiki hizi za kujitangaza.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Sekta Binafsi: Uhusiano wa Tanzania na China umezorota,JPM anaalikwa haendi

    Naunga mkono kwa Raisi wetu kuweka ngumu kwenye miradi ya kichina, hebu tuangalie ule mradi SGR (Reli) ya kenya, wiki mbili zilizopita nilikuwa kenya na nikabahatika kuwa kwenye Dinner na Wabunge wanne mmoja wa chama tawala na watatu wa upinzani, wote walikuwa na msimamo mmoja wa kupinga namna...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Ukitaka kujua mtu asiyejitambua ni kama wewe, sasa tukisema jee wewe una tabia kama Michael Jackson, aliyeuchukia uweusi na Ubantu wake na akajibadilisha kwa madaw na operations, itakuwa hatujakosea. Unashindwa kujibu hoja unaingilia maisha ya ndoa ya mtu aliye na umri kama wa baba au babu yako...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa kwa Dkt. Mashinji na Viongozi wengine wa CHADEMA: Maoni ya Dkt. Slaa

    Tafadhalia rudia hapa na usome vizuri alivyoandika Dr Slaa, 5) Ni kweli Pia kuwa Polisi kwa kutumia Sheria za zamani zisizoendana na wakati, na bila waendesha Kesi wa Serikali ( kama ilivyo desturi katika kesi nyingi) kufanya maandalizi mazuri kesi nyingi zinazofunguliwa chini ya kinachoitwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mnaufedhehesha umma wa waislam, mko kimya juu ya kuuawa kijana Salum kwanini?

    wajinga ndio waliwao Duh COMANDER SIRRO, ni Dume kweli kweli, na ni a very Great Planner, Ninamvulia Kofia, HE IS TRULLY A ROCKET SCIENTIST. Angalia alivyotugeuzia kibao, Polisi wake ameu an unarmed men, hakuna uhakika kama alikuwa mbakaji, kalitumia neno la MUNGU YUPO ( ALAHUAKBAR )...
  11. F

    JamiiForums Tanzania BAKWATA mnaufedhehesha umma wa waislam, mko kimya juu ya kuuawa kijana Salum kwanini?

    Kwa wale wote wanao kuja na Mijadala ya kidini , nawasihi muziwache haraka sana, Swali la kujiuliza na ambalo linahitaji jibu kutoka kwa Comander Sirro, ni kwa nini alitangaza kuwa Marehemu baada ya kupigwa Risasi alisikiKa akitoa sauti ya " ALLAH HUAKBAR, ALLAH HUAKBA , ALLAH HUAKBAR" maana ya...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje Adam Malima kutetewa na Wakili Kibatala?

    Tuache Ushabiki wa kijinga, Kibatala ni Wakili wa kulipwa, Chadema haimlipii kodi, elimu ya wanae, wala chakula. Yeye hii ni kazi yake na hachagui mteja kufuatia siasa zake. Jee mmesahau ya Wakili Marandu, alivyokuwa akiwasema mawaziri ( Mramba) wa awamu ya Tatu majukwani kwa ufisadi wao, na...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Sakata la CDA lampaisha kamanda Kigaila Jimboni

    Jee mwanachama wa chadema , akija hapa na haungi mkono hoja, bali ana opinion nyingine, jEE NAYE ATAKUWA KATIKA KUNDI LA lumumba buku saba?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Vijana CHADEMA wamuonya Kambaya: "Ujinga wako fanyia huko huko, CHADEMA maji ya shingo".

    Ndugu Quinnen, Nimesoma Bandiko lako na nimekuelewa vizuri sana, Hapa umetuonyesha kuwa wadhifa wako ndani ya chama chako ni mmoja wa genge la uharibifu linalotumwa kufanya fujo, na kutimiza matendo ya kihalifu kwa niaba ya chama chako. Nikinuku baadhi ya maneno yako , ambayo ndiyo ushahidi...
Back
Top Bottom