Recent content by Faqboy

  1. Faqboy

    National Institute of Transport

    Habari,mwenye ufaham zaid kuhusu ada ya BBA pale chuo cha NIT kwa ngazi ya degree!
  2. Faqboy

    Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga JKT wataenda bila kuomba mkopo?

    Kuna mawil apo either utafanyiw maombi na ndugyo or mda ule unaotengwa jkt kikubwa andaa vile vitu mhim mapemaaa
  3. Faqboy

    Uhamisho

    Shukran sana nmeelewa vizur sana kwa upande wa watumishi,nataka kujua pia kwa mwanafunz daràsa la pili ikiwa mtumishi anataka kuhama na mwanafuzi huyo.
  4. Faqboy

    Uhamisho

    Habari wanajamii forum,Taratibu za uhamisho shule za msingi mkoa kwa mkoa zinakuwaje kwa wale wanaojua nisaidieni.
  5. Faqboy

    Tetesi: Masada Nacte

    Kalenda n kwl inaonesha hvyo na weng wanajua hilo
  6. Faqboy

    Crazy things you did in secondary school

    Dah pale nilipotumia muda Wang kujib chemistry 2 exam ambao n wa girlfriend ang na kuxhindwa kmaliza maswal kwa upande Wang kitu kilchozua mjadala baada ya kpata grade B kitu ambacho ckuwah Ku fail namna hyo japo ilikuwa f6 terminal exam 2017
  7. Faqboy

    Msaada wa course kwa certificate & diploma

    Dah bro n dogo lang co me
  8. Faqboy

    Msaada wa course kwa certificate & diploma

    Habari jf,napenda kuuliza ni course zipi ngazi ya certificate & diploma anaweza soma mtu mwenye matokeo ya kdato4 2018 kama HISTORY D,LANGUAGE C,KISWAHILI C,BIOLOGY D,MATHEMATICS F,CHEMISTRY F,GEOGRAPHY F,CIVICS D Ahsanteh
  9. Faqboy

    Kulogin udsm Aris

    OK poa
  10. Faqboy

    Kulogin udsm Aris

    Fika smart card unit
  11. Faqboy

    NDUGU ZANGU TULIOKOSA MKOPO TUJIULIZE.

    Ni kwa wanachuo wote
Back
Top Bottom