Recent content by Fanxudy

  1. Fanxudy

    Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

    Nimechuka Epson l850 Ila naona inaniletea alert ya “Printer error turn off to see your documentation" nimepeleka kwa fundi kafungua kafunga ikawaka kawaida tatizo likaamia kwenye Bartons zikawa hazi touch fresh saivi tatizo limejirudia
  2. Fanxudy

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Mh! Mh! Mmmmh! Mmh.
  3. Fanxudy

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Aah! Ahsante kwa kuniwazia ngoja mie nilale utanambia kesho ulichokiwaza
  4. Fanxudy

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Nakuwazia mahalo utachomoa hizo hela per month
  5. Fanxudy

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Nini Sasa mbona unagunia bob
  6. Fanxudy

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Mmmh nawaza hapa kuna siku ntamiliki million 300 per month cjui
  7. Fanxudy

    Uzi wa kuandika chochote na kujijibu mwenyewe.

    Ahahahaaa jamaa Nini mbona unaguna saana bob
  8. Fanxudy

    Hivi kuwa askari polisi ni tiketi ya kudhulumu raia wema?

    Samahani Watanzania wenzangu Ila inafika kipindi nawaza ni bora kusiwepo Askari polisi maana wamekuwa Kama chachu ya unyanyasaji na unyanganyaji Sasa zaidi ya Majambazi na Vibaka. Sometimes am proud of Hamza RIP. POLE SAANA Mzee wa Old School HAWA VIJANA WANATUMIA NGUVU KUBWA AKILI KIDOGO NAONA...
  9. Fanxudy

    Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Wanakusanya Kodi buanaa 😅😅😅 I miss that moment of JP🥺🥺
  10. Fanxudy

    Rais Samia: Tumewaondoa Wamachinga kwasababu Wageni Wanaogopa Kuja Tanzania

    😂😂😂😅 C Rais wa wanyonge tushamzika jamani! Kwahyo awamu yetu imeisha imekuja awamu ya walipo Kodi kubwa kubwaaa 😭😭😭😭 RIP my legendary JPM
  11. Fanxudy

    Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Watu wanakula adi nyoka Bob ni ufundi wako tyu! Ila zingatia ujirani mwema msijeanza kuwindana
Back
Top Bottom