ishu fact zinazotolewa cyo uchama.tatizo letu tunachukulia siasa kama usimba na uyanga kwamba no matter what lazima nishinde ili nimzomee mpinzani.we hv to know dat siasa haipo hivyo.lazma tuangalie tunasonga vipi mbele.so cjui Bashe ana uanachama wavyama viwili ukiambiwa uzibtishe...
Tujifunze akiki yabiashara.wiz anajua Tanzania kuna watu zaid yamil40.so akiupa promo wimbo wa tz anauhakika wakukubalika kwny nchi hiyo.so akiwa tz atasema hivyo akienda Kenya ayawasifia sautsol.ndivyo biashara ilivyo jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.