Habari za muda huu ndugu zangu
Naitwa elikana, ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninafanya kazi ya sanaa za simulizi kwa njia za sauti "Storyteller" pia nafanya "Voice over", "Dabin voice" pamoja na fact mbalimbali za maisha,mapenzi n.K
▪︎elimu yangu mimi ni kidato cha nne na sijasomea vitu...
Hivi ni kwanini binadamu wengi wao, wakiwa hawana pesa huwa na ndoto za kila aina na zenye kuonyesha mtu huyu future yake ni sahihi na kubwa zaidi...!!
Lakini 'mfano' baada ya kuipata pesa ndoto zile hutoweka kwa kasi sana bila ya kutimizwa kama ilivyokuwa awali akifikiria?
Naombeni mnisaidie...
Jina langu naitwa Elikana Nikodemo Elikana, Kiukweli nafarijika sana napokuwa humu japo nilikuwa bado sijajiunga rasmi ila sasa nashukuru tupo pamoja...!! Ahsanteni sanaaaa
Pia binafsi ningependa kuomba ushauri..!!
Mimi ni kijana ninayeamini sana kupitia sanaa itanifikisha katika malengo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.