Ndugu wadau nimefurahi na kujaribu kupitia majina haya kwa kina. Kweli nadhani amejitahidi ndugu raisi kuwaleta watu hawa pamoja ili watupatie mustakabali wa maisha, taifa na rasilimali zetu katika kipindi cha miaka kadhaa ijayo.
Wasi wasi wangu ni kiwango cha uzalendo cha baadhi ya wajumbe...
KWELI VITA DHIDI YA WAFUJAJI, WABADHIRIFU ITAISHA KWA NAMNA HII?Ni swali linaloweza kuonekana jepesi lakini kwa wanaoyashuhudia maumivu ya kusaka haki na kusema ukweli majibu ni tofauti kabisa.Nathubutu kusema na kukiri kabisa kuwa vita hii ni ngumu sana kwa kuwa wezi, wadhulumaji, wafujaji na...
Ni ukweli usiofichika kuwa siasa za nchi hii zinatupeleka pabaya hasa baada ya kuzizidisha hata kwenye mambo ya msingi na ya kitaaluma. Hivi serikali hii na sera zao za bora shule nyingi zitatimiza ndoto ya watanzania kuwa nchi yenye neema na kujiweza? Anguko hili la kitaaluma linaathiri haswa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.