Recent content by FallenAngel

  1. FallenAngel

    Kubadilisha document ya PDF Jpeg

    Kaka kama Utakua na Machine(computer) Tafuta Application inaitwa Format Factory basi Linabaki swala la Lugha tu na skills Za kawaida unakua umemaliza kazi Kama upo Dar es Salaam Na Haujaweza kufanya Hivyo Naomba unitafute Nikusaidie Me Ni Mobile-Technician Usiwaze Kuhusu Nauli na Gharama...
  2. FallenAngel

    Tuliosoma shule za Vipaji Maalum tukutane hapa...

    LAKINI KIUHALISIA HAMKUA NA VIPAJI WALA NINI NI VILE TU MLIKUA WABOVU NA MLIKUA HAMCHEZI SODO NA MLIKUA NA VIMIANDIKO VIZURI [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. FallenAngel

    Naomba kujua vitabu vya combination ya PCM Form 5 na 6

    Wasukutishe Sana Vitabu Ni Vitano Tu PHYSICS CHAND YA PHY VITINI VYA MGOTE NA ALLY ABDALLAH :solving ya Mapast Papers Mpaka siku Moja kabla ya Necta CHEMIA TIE YA TZ CHEMIA Vitini Vya Mjomba Unga na Ngaiza :Past Papers kila siku on solving PURE Past Papers On solving Vitini vya Kitedy...
  4. FallenAngel

    Huwa unafanyaje ukipatwa na hali ya kutotaka kufanya chochote na kukosa furaha?

    Here we go Lady 1.Chukua paper Panga mipango ile ulkua unaiwazia wakati uko primary school like kua na company ya kupeleka watu Jupiter 2.Bundle unalo (hitaji la muhimu though) Ingia Youtube View zachtech videos or Julius Dein videos Or supercar blonde 3.Ukiona hazinogi still uko Stressed...
Back
Top Bottom