Recent content by fakhbros

  1. fakhbros

    Sauti ya waliosahaulika Tanzania

    Asante kwa Uzalendo tupia kwenye tone tone
  2. fakhbros

    Sauti ya waliosahaulika Tanzania

    Bado mkuu
  3. fakhbros

    Sauti ya waliosahaulika Tanzania

    NO REFORM, NO ELECTION: SAUTI YA WALIOSAHAULIKA TANZANIA Na Kamgisha Abeid: Wakati taifa linaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwingine, sauti ya wanyonge inazidi kufunikwa na makelele ya wanasiasa. Lakini sasa, kutoka kwenye vijiwe vya kahawa, masoko ya wakulima, shule za kata, viwanda vya...
  4. fakhbros

    Dkt. Mpango: Gharama kwenye huduma za kibenki za kidijiti zipunguzwe ili kupunguza matumizi ya fedha taslimu

    Kiukweli bank zinatoza kiasi kikubwa mno kwenye miamala hili jambo kama limeonwa na vice president basi ingebidi waziri husika kuchukua huo ushauri kwa haraka zaidi hali ilivyo kwa sasa kama mjasilia mali kuweka pesa NMB nikupoteza faida
  5. fakhbros

    Baada ya Wife kuniweka Lockup naona kama natengenezewa mazingira ya ku react nichukue hatua kali

    Huu uzi unaonekana ni Issue ya kufikirika mkuu ngoja nisubiri awamu inayofata
  6. fakhbros

    Kwanini Rais Magufuli alimfunga Kabendera?

    Kabandera na kitabu chake ni mambo mawili yanayo hitaji Tafakuli yakinifu lakini uandishi wa Kabendera ni wazi una mikono ya kisiasa ndani yake ili kujenga Taswira mbaya kwa wafasi wa Magufuli ambao wanaonekana kumminya Rais Samia
  7. fakhbros

    Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

    wakati huo huo Nchini Tanzania Spiker wa bunge amtimua mbunge mwenzake bungeni kwa kuhoji njia zilizotumika katika kutoa vibali vya ununuzi wa Sukari Ikiwa Kenya wabunge wana Uhuru wa kupiga kura juu ya madaraka ya mtu yeyote Nchini Tanzania ni mtu mmoja anae weza kukatisha madaraka ya mtu...
  8. fakhbros

    MOYO ULIOJAA BARAKA NA UPENDO:

    Amebarikiwa mwanaume anayeingia katika maisha ya mwanamke kwa nia ya kweli na ikhlasi. Yeye ndiye anayempa usalama na kumfanya ajisikie mrembo, mwenye kujiamini, na mwenye akili. Anamwalika katika ulimwengu wake wa matukio na zaidi ya yote, anahakikisha anahisi kupendwa, kuheshimiwa na...
  9. fakhbros

    Viumbe wapenda upweke

    Kuna aina maalum na ya kipekee ya watu ambao hawapendi kwenda nje na wanapendelea kukaa kwenye vyumba vyao tu, Wanapoenda mahali fulani, hukosa upweke wao wenye kupendeza. Hawa ni watu ambao wana rafiki mmoja au wawili wa karibu na hawaingiliani na mtu mwingine yeyote katika maisha yao...
  10. fakhbros

    Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    kwani kazi ya Rita ni kutambua ubini au kusajili vizazi na vifo Rita hawana haki yakujua nasaba ya mtu nikiamua kumuita Mwanangu Mungu bini Mbuzi hawapaswi kuniuliza chochote,
  11. fakhbros

    Poti wangu wa Kizanaki IGP Wambura haya anza sasa kuaga wafanyakazi wako kwani ni suala la muda tu unaondoshwa, Sawa?

    Police ni sehemu ngumu kiutawala kumuondoa Wambura hakuwezi kuleta tija kiutendaji nadhani kuna haja ya kuliunda upya jeshi la Police ili liendelee na matakwa ya Uhuru, Jeshi letu limekuwa ni kitengo cha kulinda maslahi ya Viongozi waliopo kwenye madaraka badala yakulinda raia jeshi linalinda...
  12. fakhbros

    John Mnyika: Kiongozi wa CHADEMA Mzee Ali Mohamed Kibao, adaiwa kushushwa kwenye Basi na kuchukuliwa na watu wasiyojulikana

    Ndani ya Chadema kuna genge la ukharifu matukio ya sasa na yanyuma yanatoa taswira ya minyukano katika chama hicho Ukiangalia jinsi alivyo potea Ben 8:00 Ukiangalia kifo cha Alfonce Mawazo Ukalitazama Shambulio la TAL na matukio mengi yanayo wapata wafasi wengi ndani ya Chama kiujumla CDM...
  13. fakhbros

    Tamani ina masharti

    Thamani Inamasharti Watu huonyesha kupendezwa na wewe unapokuwa tajiri, unapokuwa unawavutia katika kitu furani au haupo tena duniani. Madhara ya Hasira Maamuzi yanayofanywa kwa hasira hayawezi kubadilishika baada ya matokeo nyakati zako za ghadhabu sio nyakati bora za kuamua chochote...
  14. fakhbros

    Wazee wa Tanga kusoma albadir kwa waliomuua Mzee Ali Mohamed Kibao

    Siku wazee wenyewe wamekuwa maaluni hiyo Albadri na wasome tu ni ngonjera kama zilivyo ngonjera zingine' wangeishinikiza serikali itoe majibu sahihi juu ya huo unyama aliofanyiwa marehemu'
  15. fakhbros

    Timu ya uchunguzi wa Makosa makubwa kutoka ofisi ya DCI yatumwa kuchunguza Mauaji ya Ali Kibao wa CHADEMA

    Kinachoendelea nchini ni masikitiko hakuna alie salama kwa sasa kila mmoja anaweza kutekwa na kuawa pasina kujulikana wahusika, Rais anatoa amri ya Uchunguzi kwa wakati huu wakati kuna kijana alie mchora na kuichana picha alio ichora huku akijirekodi taarifa zake hakuna anae zijua wapi aliko...
Back
Top Bottom