Recent content by fakee hussein

  1. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Connection ya kuhudumia wagonjwa wa CORONA kwenye QUARANTINE

    Upo sahihi sana.....wengi wetu tuna vyeti ila uwoga na aibu ndo unaturudisha nyuma. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. F

    JamiiForums Tanzania Medical doctor (MD)needed

    Competent medical doctor needed... Location:kagera..muleba distrct For more information cantact:0744033484
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu course ya clinical medicine

    good advice na si kama haoni aibu...hapana.nursing kwa sasa ni marketable kuliko hata hiyo co,na ina advantage nyingi sana,kwanza unakua na uhakika wa kupata g.p.a kubwa itakayo kuwezesha ukasome bachelor baadae since it is not complicated,pili RN yaan diploma ya nursing unakua na uhakika wa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni ya Aim Intenational and Empowering Generation

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mtu anapewa onyo afu anakurupuka kwenda inbox. Mkuu msaidie kuwaelewesha Sent using Jamii Forums mobile app
  5. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimepoteza direction ya elimu yangu...

    Ukijua unataka nini hili swala ni dogo sana haliitaj ushauri, jua unataka nini kwanza sio baba anataka usome nini au Mama anataka usome nini au wanajamii wanashaur usome nini. Hilo ni fumbo ukifumbua jibu unalo mwenyewe humu utapata majibu mengi yatakayo kuchanganya akili. Ni mtazamo tu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

    Huwezi kugusa kizazi wala yai(mayai )la mwanamke wakati wa faragha badala yake unaweza kugusa shingo ya kizazi ya mwanamke (cervix) kwasababu kizazi cha mwanamke(uterus) kinachopatikana baada ya shingo ya kizazi huwezi gusa wala fikia kutokana na upenyo mdogo uliopo katika shingo ya kizazi na...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unajuaje umegusa kizazi/yai la mwanamke wakati wa kujamiiana?

    Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom