Recent content by faiza zuwer

  1. faiza zuwer

    Aisee! Facebook kuna vituko

    Hilo nalo ka lina kunya wanaum hawapendezi mbon kukaa uchi hawan mvuto ka wanawake[emoji2][emoji2][emoji2]
  2. faiza zuwer

    Zitto Kabwe: Mijadala imekuwa gharama za mazishi, jamii yetu inasahaulishwa ukatili uliofanywa na Polisi

    Hakuna kitu kinachoweza kufidia kifo ila kuna kipoza nafsi japo umepoteza ndug but walau unafarijika kwa upande mwingine ingawa sio rahis asa kama wazaz walimtegemea mtoto wao awakomboe afu kafariki unadhani inakuaje
  3. faiza zuwer

    Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

    Et kahis kamjibu vibaya
  4. faiza zuwer

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Na walivyo andaman kipi wamekipata labda cha maan au kusababisha tu wat kuumia asa wamefaidika nn haki haitafutwi kwa nguv wangewashtaki walio wanyima hizo fomu kwan mahakam hakun sheria hawazijui na kwann waandaman usiku kam kweli wao walikuwa hawan nia mbaya
  5. faiza zuwer

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Ko ww unaon rahaaa watu wapoteze maisha kisa chadema wanataka kitu flani kipi bora uhai wa mtu au chadema kutaka iko walichokuwa wanatak ni boraaa tutesekeee tu kivingine ila sio watu kuish kwa was was kufikia hatua dam zisizo na hatia kumwagika kwa maslahi ya mtu binasf mmoja huo ni ujinga maan...
  6. faiza zuwer

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Sio ccm ni kujua vitu na high thinking capacity ya mtu wenye uelewa mbovu ka nyie mnaon hivyo mna amini chadema wanatetea wanyonge kama wao ni watetez kwann wakubali watu wauawe wateseke wakae polisi kisa wao kama wangekuwa wanawatetea hata aquelina asingefariki wangewasikiliza police af wache...
  7. faiza zuwer

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    Hiyo yote kwa sababu unashabikia chadema ila aliosema huyo bwana sio uwongo muoneni mwenyekiti anaetak demokrasia miaka yooote yy mwenyekiti wa cham mbon ccm wanabadilishana huo ni mfano mdogo tu chadema sio cham hata tund likisu walimpiga wao wanasingiZia serikali na hawatafanikiwa kamwee ww...
  8. faiza zuwer

    Dada yangu Lady Jide nini kinakusumbua?

    Nae alimuuliza hilo swal kinafiki tu asa yy amtembelee gadna wakat waliachan vibaya kwa ugomvi na talaka asa amtembelee ili kwan kazaa nae ameyata ko amekoma tu
  9. faiza zuwer

    Rais Magufuli hajatekeleza hata ahadi moja soma hizi ahadi zake alizozitoa na ilani

    Hiyo ilikuwa gris tu ya kulainisha peda baskeli iende mbele[emoji23][emoji23]
  10. faiza zuwer

    Zitto Kabwe: Mijadala imekuwa gharama za mazishi, jamii yetu inasahaulishwa ukatili uliofanywa na Polisi

    Hawa ilibid wadai fidia ya mtoto walomtegemea awakomboe
  11. faiza zuwer

    Hii Hotel jana ilinisababishia Nifadhaike sana kwa Mpenzi Wetu na Jamaa mmoja Mpya

    Ww mjinga kubadilisha kiwanja uende kweny kiwanja kinachoeleweka ule kwa rah kitu cha wiz bado unakula kwa was was
  12. faiza zuwer

    Jana nimehudhuria Bachelor party ya mtu, sijaamini nilichokiona

    Hizo part hazina muhimu zipo beg party mwanaume anafundishwa jins ya kuish na mke sasa hayo ya part za kugegedana wangine mnashuhudia sio part anamalizia ufuska wake akatulie ndoani basi
  13. faiza zuwer

    Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

    We nae miaka 29 wake wawili wa kazi gani na wewe mtoto mdogo ukifika mika 60 utakuwa nao 7
  14. faiza zuwer

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nmb wana bania san Atm mashine ani unaeza tafuta ad ufe
Back
Top Bottom