Mwanaume wa hivi hata kutunza familia yake hatotunza sababu amezoea kuanzia mwanzo wewe unajitegemea kila kitu. Mwanaume anae kupenda atakujali kwa Fedha zake, ukiona mwanaume ukiongea habari ya pesa anakua mkali jua huyo hajui wajibu wake kama Mwanaume na amesoma akaacha shule shuleni kichwani...
umekata tamaa sana, kwanini unataka mwenye VVU? wapo wanaume ambao wanaweza kuishi na wanawake wenye hali hiyo lakini wao hawana, inawezekana my dear usikate tamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.