Recent content by Fai92

  1. F

    Fossilized Jaw in Tanzania is the Oldest Evidence of a Right Handed Homo Habilis

    Daah mkuu umenichekesha kweli kweli Hhh :D:D
  2. F

    Ushauri: Nataka nikaishi Ulaya

    Kaka nakushauri soma upate degree yako umri unao halafu apply kama expert hizo nchi za wazungu
  3. F

    Naomba Rais wetu apande basi, akitoka atapendekeza speed iongezwe

    Mm napendekeza speed za sasa 50 mpaka 80 Kweli safari inachosha kwa spidi hiyo lakini inasaidia kupunguza ajali kwa barabara zilizokuwepo sasa. Barabara hizi haziruhusu speed ya 100 mpaka 120 na ni nyembamba sana.
  4. F

    Ushauri: Nataka nikaishi Ulaya

    Dah hayo maneno bro Acjisumbue saaana kufikiria ulaya Asome zaidi ili aende hizo nchi za ulaya kama expart lakini azamie 2 na shahada ya diploma mwisho atasafisha barabara ulaya
Back
Top Bottom