Recent content by fahima

  1. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Je, huyu kijana bado ananipenda?

    hapan the boss mabadiliko yamekuja ghafla ndani ya mwez mmoj tu wkt tumeish miak 3nyuma hatujawah kugombn
  2. F

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Je, huyu kijana bado ananipenda?

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23 nina uhusiano na kijana mmoja hivi ambae ni mwanajeshi. Tangu tuanzishe uhusiano wetu hatujawahi kugombana ugomvi wa kutufanya tusiongee lakini mara ya mwisho alipokuja likizo nilianza kuhisi anamabadiliko fulani, but sikutaka kumfatilia sana kwa sababu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi uhamiaji

    jaman tangazo hili limetoka lini?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Research ya wasichana wa Tanzania

    ahsantee
  5. F

    JamiiForums Tanzania Research ya wasichana wa Tanzania

    kwan tanzania kuna makabil mangapi? maan haya mengin ndo kwanz nayaskia
  6. F

    JamiiForums Tanzania Research ya wasichana wa Tanzania

    Vp kuhusu kuruka ukuta mkuu?? Nasikia wazenji ni maabingwa..! hatuna kawaida hiyo msituharibie sifa kwa kusoma tabia ya mtu mmoja.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Research ya wasichana wa Tanzania

    mi mzanzibar kibo
  8. F

    JamiiForums Tanzania Research ya wasichana wa Tanzania

    vipi na kuhusu wapogoro jamani?
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nahisi bado nampenda

    pole sana, ila mi nahic uachane nae kabisa
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msichana hata awe mrembo vipi kama anapenda taarabu maksi zinashuka

    mh, mi napita tu
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    imetulia iyo
Back
Top Bottom