Recent content by Faharu Faraj

  1. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Nina Swali

    Samahn kuna mabadilisho yoyote kuhus alama (division) katika ngazi ya A level yaan Form Five na Form Six?
  2. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT

    Naomba link ya wavuti kam unay
  3. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT

    Naomba ya wavuti kam unay
  4. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT

    Habar zenu wana Jf naomben msaada wenu kwa yyt anaejua lin nafas za JKT huw zinatok naomba anisaidie pia vigezo vinavyo itajika
  5. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Habar saa hii wana Jf nlikwa na kitu naomben msaad wenu hv kama ukipata divn four ya 30 kuna chuo chochote unaeza kupokelewa??
  6. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Hahahhahha..... Kwo kuchaguliwa inaezekan sio
  7. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    [emoji23]
  8. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Veep kama ukiwa 25 na una C 4 pia umebalance comb uwezekan wa kuchaguliw unaweza kuwep ??
  9. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Kwo kam umepta C 4 na C 3 ndo zinahusk na Comb ulobalance hakun uwezekano wa kuchaguliwa??
  10. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Civ D, Hist C, Kisw C, Engl C, Bios C, Geo D, Math F ukipat hv kunakwep na uwezekano wa kuchaguliwa hata kwa Second & Third selection??
  11. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    Three ya 23 na ukibalance comb una wez kwenda form five kwa gvt??
  12. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Ni yepi matumizi ya madini?

    Chanzo cha nishati
  13. Faharu Faraj

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Mimi nimepata Civ D, Kisw C ,Hist C, Engl C, Geo D, Bios C, Math F ambayo ni Three 25 je, naeza kwenda form five??
Back
Top Bottom