Recent content by fahadi saleh

  1. fahadi saleh

    Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

    bora usome chemistry na physics kuliko kuijua siasi ya nchi hii
  2. fahadi saleh

    Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

    sasa jaman chanzo cha kuwekwa mbaroni ni nini??
  3. fahadi saleh

    Mbowe yuko huru, Sabaya nae aachiwe

    bora aachiwe tu maana hata mbowe kesi yake ilikuwa nzito sana tu baada ya kuachiwa kashukuru na kuhaidi kuwa mpya katika ujengaji taifa itakuwaje huyu mwenye kesi ya ujambazi aendelee kubaki kwenye kizuizi
  4. fahadi saleh

    Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    hiyo sio sheria kupitia kifungu cha katiba but ni pendekezo na tamadubi za uhongozi uliopo madarakani kwa wakati huo naamini siku Raisi akitoka chama pinzani nao pia watakuwa na utaratibu wao
  5. fahadi saleh

    Vita ya Kagera: Uganda ilikuwa na Silaha bora Tanzania ilikuwa na Jeshi bora. Mwisho wa vita silaha zile zikawa zetu tena zikiwa Mpya kabisa

    yaan nimeelewa sana point yako kwa ufupi ila wenye maana ndani yake[emoji120][emoji120]
  6. fahadi saleh

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Huyu Abdulwahid anatumia instagram?? tumchek
Back
Top Bottom