Recent content by Fagason

  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Pole sana,utayashinda majaribu..mifano ipo mingi unaweza kulazimisha kuishi na huyo jamaa mwisho wa siku akakudhuru Mi nasema umechukua uamuzi wa Busara na ni mfano wa kuigwa!sasa milango ya mwanaume bora ipo karibu. just relax!
  2. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    sio huo wewe,mbona unataka kuchanganya mambo?subilia jpili kwenye diary ya jide na utaona maana ya wk hii alianza na iliporekodiwa na bado kuipa jina!kweli wapambe wana nguvu!
  3. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    kifupi best yangu achana na Warumi atakupotezea mudi na hajui anachokifanya...kumbe anawajua mpaka akina wancy wale wanaohusika na malipo kwa jide..akaahidi eti aarudi na majibu kimyaaaaaaaaaaaa!mpaka mambo yamekuwa mengine (nimejua ivyo baada ya yeye kunisahisha eti sio hancy ni wancy na ni...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    nimejibu ivyo kwa kuwa unataka kuonyesha kwamba hakuna sehemu wanaolipa kwa kutojali nini ni nini...poa!
  5. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    Sijui utauweka wapi uso wako video ikianza kutoka.....halafu usichahanganye mambo si vibaya hata ukipita kimya!
  6. F

    JamiiForums Tanzania Hivi meno ya tembo ni malighafi ya nini?

    aaaaaah? kinana tena?..umeua mkuu!!!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    soma post zote jibu utalipata.....naona umefungua mahususi page kwa jili ya hii issue karibu ila kesho ndo kesho...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    siwezi kukulaumu sana pengine hujasoma toka mwanzo kifupi umedandika ndege kwa nyuma.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    wewe sio bure kuna kitu kwani tatizo ni lipi uliloliona mpaka ujudge ivyo?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    dhumuni kuu ilikuwa muonekano wa video na ile hadhi ya wahusika ikiwepo unadhifu suti na mashati meupe..moja BAHARI BEACH nyumbani kwa dada mmoja na pili times FM ....USIKU...MASAAA 8...BADA YA HAPO MALIPO,YAANI NIACHE SHUGHULI ZANGU ZA KILA SIKU nikazunguke tu sehemu zote?yeye iyo video...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    Bado na kesho ungekuwa na ndugu wa karibu au kijana muda wa mapema ivi asogee pale nyumbani lounge akajionee sinema ya bure....si wote wenye kupuuzia mambo!...mana kama ni kufuatwa amefuatwa unadhani unamuona,,,ni yule kijana wake wancy na dereva saidi anayeonekana na kujibu na akina joshua...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    MKUU sijakupatapata vizuri...si kazi ilishaisha ndo mapatano na yule kuzila pesa?..sasa kama walipanga waseme amezila ili watu waogope kumdai basi mambo hayatakuwa ivyo na lazima watu sasa wamejua which is which...malipo huwa kuna makisio ikiwa ni makabaliano..sasa ulitaka wewe iwe ts ngapi...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    mume wa mtu??????
  14. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

  15. F

    JamiiForums Tanzania Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    ni kweli kabisa...mana kama analipwa au lao moja iweje adhulumu..kwanza ni kujitia aibu....lakini soni hana yule.
Back
Top Bottom